Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ronaldo atastaafu soka akiwa Real Madrid – Jorge Mendes

2F955BAD00000578-0-The_Portuguese_maestro_watched_the_Miami_Heat_agonisingly_lose_9-a-40_1451263483471

Wakala maarufu wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes amezifutilia mbali tetesi za uwezekano wa mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa na mpango wa kuhamia klabu nyingine.

2F955BAD00000578-0-The_Portuguese_maestro_watched_the_Miami_Heat_agonisingly_lose_9-a-40_1451263483471
Ronaldo akishuhudia mchezo wa kikapu wa ligi ya NBA kati ya Miami Heat na Detroit Pistons ambapo Heat walishindwa kwa vikapu 93-92 December 22

Wakala huyo amedai kuwa Real Madrid ni timu ya mwisho mchezaji huyo kuichezea. Kulikuwepo na tetesi kuwa mchezaji huyo angependa kucheza na Paris Saint-Germain ya Ufaransa.

Akizungumza...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wakala Jorge Mendes aliteka soka la Ulaya

Mawakala wa wachezaji ni watu muhimu katika maendeleo ya soka kwani hufanya kazi ya kuviibua vipaji na kuviendeleza hivyo kubadilisha maisha ya wachezaji wa soka.

 

9 years ago

Dewji Blog

Hii ndiyo hatma ya Benitez Real Madrid, Ancelotti anena kuhusu kurudi Madrid na Menzes kuhusu uhamisho wa Ronaldo

rafa-benitez-579850

Kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Hatimaye hatma ya kocha wa Real Madrid, Rafa Benitez imefahamika baada ya kuwepo sintofahamu kama anabaki katika klabu hiyo au anaondoka kufuatia kipigo cha mbwa mwizi cha goli 4 bila kutoka kwa wapinzani wao wakubwa Barcelona.

Usiku wa jumatatu, Rais wa Real Madrid, Florentino Perez amesema kuwa kubarua cha kocha Benitez kipo salama na ataendelea na kazi yake kama kawaida licha ya uvumi kuwa anafukuzwa kazi kutokana na kipigo...

 

10 years ago

Mtanzania

Ronaldo aweka rekodi mpya Real Madrid

ronaldo_2477234bMADRID, HISPANIA

STAA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, ni rasmi sasa amekuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo akifunga mabao 324 kwenye mechi 310.

Rekodi hiyo ameiweka juzi alipofunga bao moja wakati wakiilaza Levante mabao 3-0, mengine yakifungwa na Jesena Marcelo.

Tayari Real Madrid ilikuwa ikimtambua Ronaldo kuweka rekodi hiyo kabla ya mchezo huo, wakihesabia bao la faulo alilofunga dhidi ya Malmo mwaka 2010 lililombabatiza Pepe na kujaa wavuni, limeshampa tuzo ya kiatu...

 

9 years ago

Bongo5

Ushauri wa David Beckham kama Cristiano Ronaldo ataondoka Real Madrid

david_beckham-759

David Beckham mchezaji wa zamani wa soka wa Man United, Real Madrid na timu ya taifa ya Uingereza, Beckham ni mchezaji ambaye alivyo ondoka Man United jezi yake namba saba ilirithiwa na Cristiano Ronaldo.

david_beckham-759

Beckham alipo kuwa kwenye interview alifunguka kuwa kama Cristiano Ronaldo atahama Real Madrid ni vizuri akirudi Man United,

“Sikuwahi kumshauri yoyote kurudi Man United, Cristiano amekuwa kama shabiki wa Man United kwani anaipenda na amefanya vizuri akiwa Old Trafford na kucheza kwa...

 

5 years ago

Managing Madrid

On This Day Two Years Ago: Cristiano Ronaldo Scores His Last Hat-trick With Real Madrid

On This Day Two Years Ago: Cristiano Ronaldo Scores His Last Hat-trick With Real Madrid  Managing MadridCristiano Ronaldo sunbathes shirtless while in quarantine  The NationFirst Images Of Cristiano Ronaldo In Quarantine Surfaces  Soccer LadumaView Full coverage on Google News

 

9 years ago

MillardAyo

Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room …

Real Madrid ilitangaza kumfuta kazi kocha Rafael Benitez na nafasi yake kuchukuliwa na mkongwe Zinedine Zidane, kwenye hii post hapa nimekuwekea video ya jinsi Zidane alivyowasili katika vyumba vya kubadilishia nguo vya Wachezaji wa Real Madrid na kukutana na wachezaji wake kwa siku ya kwanza kama kocha. Hii video hapa chini ni ya Zidane akiwa uwanjani kwenye siku ya kwanza […]

The post Video ya Ronaldo, Bale, Ramos na wengine wa Real Madrid wakimpokea Zidane dressing room … appeared first...

 

10 years ago

Mwananchi

UWEKEZAJI SOKA: Real Madrid, NSSF kuibua vipaji

>Real Madrid na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamesaini mkataba wa miaka 18 wa kujenga kituo cha michezo kwa gharama ya Sh16 bilioni kwa lengo la kuibua na kuendeleza vipaji vya soka kwa vijana Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF, REAL MADRID KUZALISHA VIPAJI VYA SOKA TANZANIA.

3Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dkt. Ramadhani Dau  akifafanua jambo kwa wageni waliohudhuria hafla fupi ya kusaini mkataba  kati ya shirika hilo na timu ya mpira wa miguu ya Real Madrid wa kuanzishwa kwa kituo cha michezo (sports academy) katika eneo la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Dk. Dau alisema katika uendeshaji wa kituo hicho, Real Madrid itakua na dhamana ya kushughulikia masuala yote ya ufundi, kuwatambua wachezaji, chakula, wataalamu wa saikolojia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani