TSC akademia inayoibua vipaji vya soka nchini
Wiki mbili zilizopita karibu vyombo vyote vya habari viliandika kuhusu vijana wa Tanzania kutwaa Kombe la Dunia katika mashindano ya watoto wa mitaani yaliyofanyika Brazil baada ya kuichapa Burundi 3-1 katika mechi ya fainali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi27 Jan
NSSF, REAL MADRID KUZALISHA VIPAJI VYA SOKA TANZANIA.
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/01/324.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 May
MARSH ATHLETES CENTRE: Mgodi unaotema vipaji vya soka Mwanza
MSINGI wa maendeleo na mafanikio ya mchezo wa soka kote duniani, ni uwekezaji wa uhakika katika programu mbalimbali za vijana kwa maana ya kujengwa wakiwa na umri mdogo na kuendelezwa...
11 years ago
MichuziPROIN PROMOTIONS LIMITED KUANZA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI NCHINI TAREHE 1 APRIL 2014
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-3naJclhFgjA/VP3y8ZcNcjI/AAAAAAAHJNw/aSOUuqbjSZo/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
Airtel Waendeleza vipaji vya Walemavu hapa nchini, “Tunaweza Band” wawezeshwa kurekodi nyimbo zao mpya.
Katika kuendeleza shughuli zake za huduma kwa jamii kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeendelea kutoa msaada kwa walemavu kupitia kikundi cha walemavu kijulikanacho kwa jina la “Tunaweza Band”, kwa kuwawezesha kulipia gharama za kurekodi nyimbo zao mpya. Makabidhiano ya mkataba huo kati ya kampuni ya simu ya mkononi ya Airtel na Ontime Production yalifanyika katika ofisi za Ontime Production iliyopo Kijitonyama kwa Ali Maua ‘A’ jijini Dar Es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo ya...
11 years ago
MichuziTIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA
10 years ago
Mwananchi27 Jan
UWEKEZAJI SOKA: Real Madrid, NSSF kuibua vipaji
>Real Madrid na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamesaini mkataba wa miaka 18 wa kujenga kituo cha michezo kwa gharama ya Sh16 bilioni kwa lengo la kuibua na kuendeleza vipaji vya soka kwa vijana Tanzania.
11 years ago
Michuzi19 Apr
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tU8d-FXwnzk/VapCsiEZbOI/AAAAAAAHqUI/SiNVk0oWHWw/s72-c/unnamed%2B%252890%2529.jpg)
KWETU HOUSE 2015 MSIMU WA PILI YATUA JIJINI MWANZA KUSAKA VIPAJI KWA MASHABIKI WA SOKA, MSHINDI KULAMBA MILIONI 15
Msimu wa pili wa Kwetu House - “kwetu house, kipaji zaidi ya soka” hili shindano ambalo hujumuisha zaidi wapenzi wa soka wenye Kipaji, jumla ya mikoa mitano (Arusha, Zanzibar, Dodoma, Mbeya na Mwanza) kutoa washiriki zaidi kwa ajili ya kunogesha na kuleta upinzani wa kutosha msimu huu mshindi ataondoka na kitita cha shilingi milioni 15, tofauti na msimu uliopita ambao ilikuwa Sh milioni 10.
Baada ya Kwetu House kusaka Shabiki mwenye Kipaji Kwenye Mikoa ya Arusha, Zanzibar,Dodoma na Mbeya...
Baada ya Kwetu House kusaka Shabiki mwenye Kipaji Kwenye Mikoa ya Arusha, Zanzibar,Dodoma na Mbeya...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania