NUHU, SHILOLE YANAKUJAJE KIZAZI HIKI?

BAHATI mbaya sana, simjui huyu bwana mdogo, anayekwenda kwa jina la Nuhu Mziwanda, aliyekuwa rafiki wa kiume wa msanii anayekimbiza katika muziki wa mduara, Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole. Naambiwa naye ni msanii wa muziki wa kizazi kipya, ingawa sijawahi kuisikia kazi yake yoyote. Lakini nikiri kuwa nimeiona picha yake mara nyingi, akiwa na mpenziwe na hata na watu wengine. Ni kijana mtanashati anayeweza kuwavutia...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies02 Jul
Nuhu Mziwanda: Sipo na Shilole Hivi Sasa
Msaniii Nuhu Mziwanda ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake mpya 'Bilima' amefunguka na kusema kuwa kwa sasa hayupo na Shilole, Nuhu amesema hayo jana alipokuwa Kikaangoni akichat na mashabiki kupitia ukurasa wa facebook wa EATV.
Toka ulipoaanza mwezi wa ramadhan kulikuwa na tetesi kuwa msanii Nuhu amehama kutoka kwa Shilole na sasa anaishi kwake mwenywe hilo limethibitishwa Nuhu alipokuwa akijibu swali la kwanini mpaka sasa anaendelea kuishi na Shilole kwenye nyumba ambayo Shilole...
10 years ago
Bongo Movies11 Nov
Nuhu Mziwanda afunguka tuhuma za kupewa kichapo kizito na Shilole
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda amefunguka kuwa watu wanaomsema vibaya kuhusu yeye kupewa kichapo na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ wanakosea kwani anaamini kufanywa hivyo ni mahaba.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, Mziwanda alisema kuna taarifa zimeenea kuwa huwa anapigwa na Shilole pindi anapokosea lakini ukweli si kupigwa ‘live’ bali ni kupigwa kimahaba.
‘Shilole’ akiwa na mpenzi wake ‘Nuh Mziwanda’.
“Jamani kupigwa wanakozungumzia watu sielewi...
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE
STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?
Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...
Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu...
10 years ago
Vijimambo
Kinenuka..Audio: Shilole na Nuhu Mziwanda wameongea haya juu ya kuachana kwao walipo hojiwa

Ugomvi baina ya wapenzi waliodumu kwa takribani miaka miwili namzungumzia Shilole na Nuhu Mziwanda umeonekana kuthibitishwa kuwa sio kutafuta Kick kama ilivyo dhaniwa bali niukweli wamemwagana kama wenyewe walivyo thibitisha kwaGossip Cop wa XXL ya Clouds FM.
Shilole ameweka wazi kuwa Nuhu kwake sio mpenzi tena na ikibidi kutafuta mwingine atakaye weza kumfaa na kukaa naye maisha yakaendelea, Akimainisha kuwa walishafanya ngoma ya pamoja lakini hawezi kuitoa kwa sasa kutokana na kuachana...
9 years ago
Bongo Movies29 Dec
Hiki Ndicho Kilichotoakea Kwenye House Party ya Shilole ‘Karunguyeye’ Usiku wa Jana
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Shilole aka shishi bybee ambaye amejipa jina la Karunguyeye siku ya jana alifanya pati nyumbani kwake ‘House Party’ na kuwaalika baadhi ya mastaa wenzake.
Kajala, Mwasiti, Linnah,Baba Levo, Baby Madah,Millard Ayo, Tudd Thomas na Makomandoo hao nibaadhi ya watu waliohudhulia pati hiyo.
Hizi ni baadhui ya picha za pati hiyo.
10 years ago
Bongo528 Sep
Nuhu Mziwanda ni limbukeni — BASATA
10 years ago
Mtanzania29 May
Samih Nuhu, Fakhi watua Simba
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
USAJILI wa klabu ya Simba sasa umeziingilia timu za Azam FC na JKT Ruvu, baada ya juzi kunasa mabeki wawili wakitokea klabu hizo ili kuongeza uimara wa ukuta wa timu yao.
Mabeki hao ni Samih Hajji Nuhu aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Azam msimu wa 2013/2014 anayecheza beki ya kushoto ambaye wamempa mkataba wa mwaka mmoja na Mohammed Fakhi wa JKT Ruvu akiwa ni beki kati aliyeanguka saini ya miaka miwili.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa kamati ya...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...