Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu akejeli Bunge

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kutangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amekejeli Bunge akidai taarifa kuhusu matatizo ya Operesheni Tokomeza Ujangili iliyotolea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ni kumwonea Nyalandu kwa hili la Bunge

Desemba 20, 2013, nchi ilitikisika baada ya kujiuzulu kwa mawaziri wanne walioguswa na ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu Operesheni Tokomeza Ujangili.

 

10 years ago

BBCSwahili

Neville akejeli Manchester United

Mchezaji wa zamani wa Manchester United Gary Neville amesema kuwa mchuano kati ya timu yake ya jadi na Liverpool hapo Jumapili inalinganishwa na mchezo kati ya "Mbwa au Bata na Simba mwekundu".

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge

Hatua ya kurejeshwa kazini Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa baada ya kutimuliwa kazi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu imeibua mapya baada ya mkurugenzi huyo kutimuliwa katika Kamati ya Bunge jana.

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu akutana na kamati ya bunge la Norway Jijini Dar

FPE_DIT 041

Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.

FPE_DIT 095

Waziri Nyalandu akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo ya Maliasili na Mazingira mara baada ya kuzanza kwa mkutano huo jijini Dar es Salaam jana.

FPE_DIT 087

FPE_DIT 114

Waziri Nyalandu akisalimiana na mwenyekiti wa kamati...

 

11 years ago

Habarileo

Jaji Bomani akejeli wanaotaka kwenda msituni Katiba mpya

Jaji mstaafu Mark Bomani JAJI mstaafu Mark Bomani amewashangaa baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai kuwa wasipopata Katiba mpya watakwenda msituni na kuhoji wanakwenda huko kufanya nini wakati msituni ni kwa ajili ya wanyama na si binadamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani