Nyalandu akutana na kamati ya bunge la Norway Jijini Dar
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu, akizungumza na Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ya Bunge la Norway,Ola Eluestuen (kushoto) na Balozi wa nchi hiyo hapa Tanzania Hanne-Mariekaarstad, walipofika ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuzungumza na kamati nzima ya bunge hilo.
Waziri Nyalandu akizungumza na wajumbe wa kamati hiyo ya Maliasili na Mazingira mara baada ya kuzanza kwa mkutano huo jijini Dar es Salaam jana.
Waziri Nyalandu akisalimiana na mwenyekiti wa kamati...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi.jpg)
MHE. NYALANDU AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA MALIASILI, ARDHI NA MAZINGIRA KUTOKA NCHINI NORWAY
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Dewji Blog19 Oct
Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...
11 years ago
Michuzi
Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu

Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...
11 years ago
Dewji Blog26 Apr
Kamati za Bunge kuanza kazi Jumatatu tarehe 28 Aprili 2014 Jijini Dar Es Salaam
Afisa Habari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Owen Mwandumbya akielezea kuhusu kufanyika kwa vikao vya Kamati za Bunge vinavyotarajia kuanza tarehe 28 Aprili hadi 4 Mei, 2014, Jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge wa Bajeti tarehe 6 Mei, 2014.(Picha na Tiganya Vincent-BMK-Dodoma).
Press Release – Kuanza Kamati April 28, 2014 by moblog
11 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge
11 years ago
Michuzi
Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii yafanya ziara katika Miradi mitatu ya NSSF jijini Dar

11 years ago
Dewji Blog16 Oct
Kamati ya Bunge ya Bajeti kuanza vikao vyake Oktoba 13 hadi Novemba 2 mwaka huu jijini Dar
Kamati Oct 2014.doc by moblog
10 years ago
Michuzi
Rais Kikwete akutana na Spika na Naibu Spika wa Bunge la Burundi ikulu jijini Dar es salaam



11 years ago
MichuziWAZIRI LAZARO NYALANDU AKUTANA NA TAASISI ZA UHIFADHI WANYAMAPORI JIJINI NEW YORK