Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYALANDU ARUDISHA FOMU ZA WADHAMINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi.Waziri...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM MARA BAADA YA KUKAMILISHA ZOEZI LA KUPATA WADHAMINI

 Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi fomu za Kuomba kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM kwa Naibu Katibu Mkuu Ndugu Rajabu Luhwavi mara baada ya kufanikiwa kupata wadhamini katika mikoa 23 ya Tanzania Bara na Visiwani.

 Dkt. Magufuli akisaini kitabu baada ya kurudisha Fomu hizo.

 Waziri Magufuli akihakiki fomu hizo kabla ya kuziwasilisha kwa Uongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma. Magufuli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nyalandu arejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani

NYALANDU AKITEREMKA KWENYE COSTER BUS KURUDISHA FOMU MAKAO  MAKUU DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akiteremka kwenye Coaster  mara baada ya kuwasili makao makuu ya ofisi za CCM Dodoma kwa ajili ya zoezi la kuruisha fomu.

NYALANDU AKIWA NA BAADHI YA WANA CCM WALIOMSINDIKIZA  KURUDISHA FOMU DODOMA

Baadhi ya wanachama wa CCM waliomsindikiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma, jana.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amerejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani ambazo...

 

10 years ago

Habarileo

Muhongo arudisha fomu akisherehekea bethidei

Profesa Sospeter Muhongo.ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kurudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kuchagulia na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania, huku akidai hatakiwi kuulizwa kuhusiana na masuala ya Escrow kwani hakutajwa mahali popote.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif arudisha fomu za ukatibu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amerejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa chama hicho huku akisisitiza msimamo wake wa kuendelea kuwaunganisha...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Mgombea urais kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damiani Lubuva, wakati alipowasili ofisi hizo. …Akiwa na mgombea mwenza, Samiah Hassan Suluhu.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani arudisha fomu kuwania ubunge

MBWEMBWE na tambo za shamra shamra mbalimbali zimetokea jana katika ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chalinze baada ya wagombea kurudisha fomu za kugombea ubunge. Majira ya saa tano...

 

11 years ago

Michuzi

RIDHIWANI ARUDISHA FOMU ZA UBUNGE CHALINZE

 MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete leo amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi, akisindikizwa na washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhan Maneno pamoja na Imani Madega.   Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete akiwa ameambatana na  washindani wake katika kura za maoni, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma,...

 

9 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA URAIS NEC

Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia). Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya…

 

10 years ago

GPL

LOWASSA ARUDISHA FOMU ZA KUWANIA URAIS CHADEMA

Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Profesa  Abdallah Safari (kushoto)  akipokea fomu kutoka kwa Waziri Mkuu wa Zamani,  Edward Lowassa. Ester Bulaya (wa kwanza kushoto waliovaa fulana) akiwa ukumbini kumshuhudia Edward Lowassa akirudisha fomu ya kugombea urais ndani ya chama. PICHA ZAIDI BONYEZA HAPA ===>…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani