Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu arejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani

NYALANDU AKITEREMKA KWENYE COSTER BUS KURUDISHA FOMU MAKAO  MAKUU DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akiteremka kwenye Coaster  mara baada ya kuwasili makao makuu ya ofisi za CCM Dodoma kwa ajili ya zoezi la kuruisha fomu.

NYALANDU AKIWA NA BAADHI YA WANA CCM WALIOMSINDIKIZA  KURUDISHA FOMU DODOMA

Baadhi ya wanachama wa CCM waliomsindikiza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kurejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania urais kwa tiketi ya CCM mjini Dodoma, jana.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amerejesha fomu za wadhamini aliowapata katika mikoa yote Tanzania Bara na Visiwani ambazo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Semina ya wakuu wa Mikoa na Wilaya Bara na Visiwani yamalizika Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji katika Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja. Baadhi ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri...

 

10 years ago

Vijimambo

NYALANDU ARUDISHA FOMU ZA WADHAMINI

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara, Rajabu Luhavi.Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamba atunzwa kwao apata wadhamini kuliko mikoa yote aliyopita

Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alipokulia na kuzaliwa, wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.

Wananchi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyopita ambapo jumla ya watu 15,043 wamejitokeza kwenye ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015……Fuatilia matukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Tanzania Bara vs Visiwani leo

Mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanaingia katika hatua ya nusu fainali hii leo, wakati timu mbili kutoka Tanzania Bara, Simba na Mtibwa Sugar zitakapocheza dhidi ya mbili za visiwani Zanzibar, Polisi Zanzibar na JKU (Jeshi la Kujenga Uchumi)

 

10 years ago

Michuzi

DKT. MAGUFULI ATAPA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA, ZANZIBAR

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini. Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA MWANZA NA GEITA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Chato Mkoani Geita.Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwa katika picha na baadhi ya Wadhamini wake katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Chato Mkoani Geita.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Membe apata wadhamini zaidi ya 800 katika mikoa ya Lindi na Mtwara

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za  kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.(Picha zote na John Badi).

SONY DSC

SONY DSC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA KILIMANJARO NA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani  Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumdhamini. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisaini kitabu cha...

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. MAGUFULI AWASILI KISIWANI ZANZIBAR NA KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia mchakato wa uhakiki wa kadi za wanachama wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani Zanzibar waliojitokeza kumdhamini.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Mussa Haji Katibu wa CCM Wilaya ya Mfenesini Kisiwani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani