Nyalandu atangaza rasmi kuwania Urais 2015
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye Mkutano wa jimbo uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo, jimboni humo (Picha na Bashir Nkoromo theNkoromo Blog).
theNkoromo Blog, Singida
Mbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi29 Dec
NYALANDU ATANGAZA RASMI NIA YA KUWANIA URAIS 2015
theNkoromo Blog, SingidaMbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake...
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Nyalandu atangaza kwa mara ya pili kuwania urais
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Pinda atangaza rasmi kuwania urais
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania
10 years ago
Vijimambo14 Oct
Nyalandu: Nasubiri kuombwa kuwania urais 2015
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lazaro%20Nyarandu-October--2014.jpg)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema hawezi kutangaza kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao bila kutumwa na watu.
Nyalandu amesema kuwa wadhifa wa kuongoza nchi ni mkubwa mno, ambao mtu hawezi kujichukulia uamuzi wa kuiomba nafasi hiyo isipokuwa mpaka atumwe na watu, huku akisema kuwa ingawa hana mpango wa kugombea urais, lakini hata yeye akitumwa anaweza kugombea.
Nyalandu aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wake na wandishi...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015
10 years ago
Mtanzania29 Dec
Nyalandu atangaza kugombea urais
Na Kulwa Karedia, Singida
MBIO za urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zimechukua sura mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, kutangaza rasmi nia ya kugombea urais mwaka 2015.
Akizungumza katika mkutano wa kuwashukuru wapigakura wake kwenye uwanja wa michezo wa Shule ya Msingi Ilongero, Wilaya ya Singida Vijijini jana, Waziri Nyalandu alisema muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika.
“Muda wa Tanzania kupata maono mapya umefika, nitachukua hatua ya kuelekea...
10 years ago
MichuziNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-nEg2Rwm_GIM/VWniR-_BzII/AAAAAAAHay0/lReYgI5H_LM/s72-c/MMGL2459.jpg)
EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-nEg2Rwm_GIM/VWniR-_BzII/AAAAAAAHay0/lReYgI5H_LM/s640/MMGL2459.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GGfCm4-z__I/VWniRuyE-7I/AAAAAAAHay4/WjUvF_HATeU/s640/MMGL2479.jpg)