EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-nEg2Rwm_GIM/VWniR-_BzII/AAAAAAAHay0/lReYgI5H_LM/s72-c/MMGL2459.jpg)
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha , wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Picha na Othman Michuzi
Mtangaza nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fBIV3Lat0BA/VWnp0oXddHI/AAAAAAAHa3I/HMe2FmWEuBI/s72-c/MMGL3054.jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
![](http://2.bp.blogspot.com/-fBIV3Lat0BA/VWnp0oXddHI/AAAAAAAHa3I/HMe2FmWEuBI/s640/MMGL3054.jpg)
10 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-fBIV3Lat0BA/VWnp0oXddHI/AAAAAAAHa3I/HMe2FmWEuBI/s640/MMGL3054.jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXXPHjC-yAasFduKEOt0QZ3I-suqqLit3iaCX2TpHkrkrKgjZTPA8zk7RnwZs3zmQvvdAotTT7Zp7qpbLygVXH4y/wasirra.jpg?width=650)
STEPHEN WASSIRA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
GPLPROF. MUHONGO ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
VijimamboMH. SAMUEL SITTA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
Mheshimiwa Samuel Sitta leo hii alitangaza rasmi nia yake kugombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Alitangaza nia yake hiyo mbele ya mamia ya wakazi wa kata ya Itetemia, Tabora mjini na wilaya za jirani na mji wa Tabora.Akieleza sababu tano zilizomfanya atangaze nia yake ambazo ni
1.Muungano
Toka pande zetu mbili za muungano zinatolewa kauli na pia...
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Lissu atangaza rasmi nia ya kuwania urais Tanzania
10 years ago
Michuzi29 Dec
NYALANDU ATANGAZA RASMI NIA YA KUWANIA URAIS 2015
theNkoromo Blog, SingidaMbunge wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu wanayotaka Watanzania.
Amesema, yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi kazi zake...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kxa-PchAiXUToPxwc6pcMqxD-0nPBgGvqcO8JwpUK9FdOgyF0k-IBsJWUVxTNp1EO*XnUcWJy*PZA-HcKczLm8PmvFPt-yUg/mwigulu.jpg?width=650)
MWIGULU NCHEMBA NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rWr07F5d70uqlBu1tnfTIaRUL1nbvazCLdsH7g2K8bjmFa4nT043P8TX52D1UJcUmw4dknY2y3jVZeCC-4Xey8s3PdcpLE1F/kamani.jpg)
DK. KAMANI NAYE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS KUPITIA CCM