Nyalandu: Tutawasamehe majangili watakaojisalimisha
SERIKALI imewataka watu wanaoshiriki katika vitendo vya ujangili nchini, kujitokeza na kusalimisha vifaa na silaha wanazotumia katika kazi hiyo na watasamehewa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
Nyalandu akamia majangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema vita ya ujangili ni endelevu na kubwa ambayo kila mmoja anatakiwa kushiriki. Nyalandu alitoa wito huo jana wizarani kwake mara baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Nyalandu: Tuna orodha ya majangili 320
PAMOJA na serikali kutotaja majina ya watu 40 ambao Rais Jakaya Kikwete alisema ndio mtandao wa ujangili nchini, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...
10 years ago
Habarileo04 Mar
Nyalandu ataka ushirikiano kudhibiti majangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya wanyama pori, na kutaka ushirikiano kulinda rasilimali hiyo.
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo
10 years ago
Habarileo08 May
Nyalandu ataka nguvu zaidi dhidi ya majangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka askari wa Wanyamapori nchini na watendaji wa wizara yake kuongeza nguvu zaidi kwenye mapambano dhidi ya ujangili.
11 years ago
Dewji Blog10 May
Waziri Nyalandu akabidhiwa magari ya kusaidia kampeni ya kutokomeza Majangili wa mauaji ya Tembo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo...
10 years ago
Habarileo10 May
Nyalandu: Vigogo serikalini wako bega kwa bega na majangili
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amedai kuwa majangili wote wanaotiwa mbaroni na vikosi vya Askari wa Wanyamapori, wanadaiwa wanatumwa na watu waliopo kwenye ofisi za serikali na wengine nje ya nchi.
11 years ago
GPLMAJANGILI WANASWA
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Msingwa: Majangili ni marafiki wa JK
KUSHAMIRI kwa vitendo vya ujangili nchini kumedaiwa kunatokana na wahusika kuwa marafiki wa Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya watendaji wakuu wa serikali. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Msemaji Mkuu...