Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyalandu: Majangili wazidi kuua tembo

>Serikali imesisitiza kurejea kwa Operesheni Tokomeza Ujangili, ikitangaza kuwa tembo 13,000 tu ndio waliosalia katika Mbuga za Wanyama za Selous na Mikumi ambapo wanyama hao wamepungua kwa asilimia 66, sababu kubwa ikiwa ni ujangili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Majangili wazidi kuteketeza tembo Tarangire

Tembo wanane katika Hifadhi ya Tarangire mkoani hapa wameuawa katika kipindi cha Novemba 2013 hadi sasa huku meno 17 ya tembo yakikamatwa katika operesheni inayoendelea kufanywa na askari wa hifadhi hiyo.

 

11 years ago

Dewji Blog

Waziri Nyalandu akabidhiwa magari ya kusaidia kampeni ya kutokomeza Majangili wa mauaji ya Tembo

1

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nayalandu, akipokea funguo ya moja kati ya magari matatu aina ya Land Cruiser, yenye thamani ya Sh. milioni 350, kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhifadhi Wanyamapori Tanzania, Eric Pasanisi, wakati wa hafla ya makabidhiano hayo iliyofanyika leo kwenye Hoteli ya Hyatt Kilimanjaro wakati wa Kongamano la Kampeni ya kudhibiti Ujangili na kukomesha mauaji dhidi ya Tembo. Kongamano hilo lililofunguliwa na Makamu wa Rais Dkt Bilal, jana limemalizika leo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu akamia majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema vita ya ujangili ni endelevu na kubwa ambayo kila mmoja anatakiwa kushiriki. Nyalandu alitoa wito huo jana wizarani kwake mara baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu: Tutawasamehe majangili watakaojisalimisha

Lazaro NyalanduSERIKALI imewataka watu wanaoshiriki katika vitendo vya ujangili nchini, kujitokeza na kusalimisha vifaa na silaha wanazotumia katika kazi hiyo na watasamehewa.

 

11 years ago

Michuzi

MAJANGILI 6 YAKAMATWA NA MENO YA TEMBO 53 YENYE JUMLA YA KILO 169.7

DSCF3201Waziri wa maliasili na utalii Mh.Lazaro Nyalandu akizungumza na wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha juu ya kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya kilo 169.7 na majangili sita DSCF3202Meneja Uhusiano wa Tanapa,Pascal Sheluteteakifurahia jambo na wanahabari jijini Arusha DSCF3199 DSCF3198Wanahabari wa vyombo mbalimbali wakifatilia jambo kutoka kwa Waziri wa maliasili na utalii
Na Pamela Mollel,Arusha Wizara ya maliasili na utalii imetangaza kukamatwa kwa meno 53 ya tembo yenye jumla ya...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli aombwa kuwachukulia hatua majangili wa meno ya tembo

Kamati ya Okoa Tembo Tanzania imemuandikia barua Rais John Magufuli ya kumuomba kuwachukulia hatua majangili na wafanyabiashara haramu ya Meno ya Tembo Tanzania ili kupunguza mauaji ya Tembo nchini.

Mwaka 2009 Tanzania ilikuwa na idadi ya Tembo 109,00 lakini hadi kufikia mwaka 2014 idadi ilipungua kwa asilimia 60 mpaka kufikia Tembo 43, 000 ambapo jitihada za ziada zinahitajika ili kuwanusuru Tembo waliobaki.

 Kutokana na tatizo hilo kamati Hiyo ya Okoa Tembo wa Tanzania imemtaka Rais...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka ushirikiano kudhibiti majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema kuwa Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika kwa kuwa na eneo kubwa lililotengwa kwa ajili ya wanyama pori, na kutaka ushirikiano kulinda rasilimali hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu: Tuna orodha ya majangili 320

PAMOJA na serikali kutotaja majina ya watu 40 ambao Rais Jakaya Kikwete alisema ndio mtandao wa ujangili nchini, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...

 

10 years ago

Habarileo

Nyalandu ataka nguvu zaidi dhidi ya majangili

Lazaro Nyalandu.WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka askari wa Wanyamapori nchini na watendaji wa wizara yake kuongeza nguvu zaidi kwenye mapambano dhidi ya ujangili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani