Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAJANGILI WANASWA

Majangili waliokamatwa wakiwa chini ya ulinzi. Swala aliyeuawa na majangili hao. WIMBI…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAJANGILI WANASWA HIFADHI YA TAIFA SERENGETI

Nyama ya swala aliyeuawa na majangili ikiwa kwenye gari.
Majangiri wakipandishwa kwenye gari la askari wa wanyamapoli. Gari la askari wa wanayamapoli likiwapeleka majangiri katika Kituo cha Polisi cha Bunda.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu akamia majangili

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema vita ya ujangili ni endelevu na kubwa ambayo kila mmoja anatakiwa kushiriki. Nyalandu alitoa wito huo jana wizarani kwake mara baada ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msingwa: Majangili ni marafiki wa JK

KUSHAMIRI kwa vitendo vya ujangili nchini kumedaiwa kunatokana na wahusika kuwa marafiki wa Rais Jakaya Kikwete na baadhi ya watendaji wakuu wa serikali. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Msemaji Mkuu...

 

11 years ago

Habarileo

Majangili Ruaha kukiona

TEMBO wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha watafungwa kifaa maalumu cha kufuatilia mwenendo wao, hizo zikiwa ni harakati za ziada za serikali na wadau wake, kunusuru wanyama hao dhidi ya majangili wanaosaka meno yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni majangili au biashara za vigogo?

Mengi yanasemwa kuhusu biashara chafu ya ujangili nchini, lakini nina hofu kama mwenzangu mimi tu unaweza kuvamia pori ukaua tembo halafu ukawa salama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi tushirikiane kuwafichua majangili

WANYAMAPORI ni moja ya vivutio vya nchi yetu, kwani hutuingizia fedha nyingi za kigeni kutokakana na watalii hasa kutoka nje ya nchi. Lakini vitendo vya ujangili vinavyofanywa na baadhi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK atangaza kiama cha majangili

Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imenuia kumaliza kabisa ujangili nchini, ikiwa ni hatua ya kunusuru wanyama walio hatarini kutoweka katika hifadhi za taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wakamata majangili sugu 40

Kikosi kazi kilichoundwa na Serikali kudhibiti matukio ya ujangili, kimefanikiwa kuvunja mtandao wa ujangili kwa kuwakamata watuhumuhiwa zaidi ya 40 na silaha mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

EAC kuwavalia njuga majangili

>Katika hitimisho la ziara yake ya siku mbili kutembelea Makao Makuu ya Sekretarieti ya EAC, Rais Kenyatta ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo alitoa changamoto kwa kila raia wa EAC kushiriki vita dhidi ya ujangili kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani