EAC kuwavalia njuga majangili
>Katika hitimisho la ziara yake ya siku mbili kutembelea Makao Makuu ya Sekretarieti ya EAC, Rais Kenyatta ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo alitoa changamoto kwa kila raia wa EAC kushiriki vita dhidi ya ujangili kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Mar
CCM kuvalia njuga utalii
Kinana amesema Chama kitahakikisha sekta ya utalii inakua kadri ilivyopangwa.
Pia amesema nchi imepiga hatua, lakini bado kuna tatizo la urasimu katika maeneo mengi.
Katibu Mkuu alisema hayo alipozungumza na wakazi wa mji wa Mto wa Mbu mkoani Arusha.
Alisema urasimu ndani ya sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii umekuwa kikwazo kwa wawekezaji.
ìMtu anakuja leo unamwambia aje kesho na kila siku jambo hilo linajirudia ndiyo chanzo cha watu kukata tama,îalisema.
Alisema CCM ni Chama chenye dhamana na...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Viongozi wavalia njuga ‘vimemo’
VIONGOZI wa serikali za vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike, mkoani Morogoro, wameazimia kusambaratisha na kukomesha migogoro ya ardhi kwa kuvifikisha mahakamani vikaratasi vyote vya kugawana ardhi kwa njia...
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Ummy: Nitavalia njuga bei ya gesi
NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Ummy Mwalimu, ameahidi kulivalia njuga suala la bei za nishati ya gesi kwa lengo la kuhakikisha kila mwanamke wa Kitanzania ananufaika na...
10 years ago
Habarileo11 Jun
Kawambwa alivalia njuga suala la KIU
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa amewaahidi wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa ya Kampala (KIU) kukutana na Waziri wa Afya kushughulikia tatizo la wanafunzi wanaosoma fani ya famasia kutotambuliwa na baraza la famasia.
11 years ago
Tanzania Daima29 Apr
Wake wa viongozi wavalia njuga ugonjwa wa saratani
UMOJA wa Wake wa Viongozi nchini, umezitaka taasisi na wadau mbalimbali kushirikiana na Hospitali ya Aga Khan ili kuwakomboa wanawake kutokana na ugonjwa wa saratani. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
9 years ago
Mtanzania28 Aug
Wanasheria wavalia njuga Masha kunyimwa dhamana
Na Elias Msuya
CHAMA cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), kimelaani kitendo cha mwanachama wake ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, kunyimwa dhamana mahakamani.
Katika taarifa yake iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari, TLS imesema mahakama imekuwa na tabia ya kunyima watu haki yao hiyo kwa kisingizio cha kuhakiki nyaraka za dhamana.
Kutokana na hali hiyo, chama hicho kimesema kitaunda tume maalumu ya kuchunguza uvunjwaji wa taratibu za mahakama...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kinana kuivalia njuga Serikali ujenzi wa bandari
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Mjumbe Tume ya Warioba amvalia njuga Lowassa
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Ni dhahiri Serikali haijalivalia njuga tatizo la wahitimu mbumbumbu