Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wavalia njuga ‘vimemo’

VIONGOZI wa serikali za vijiji vya Kata ya Maguha na Magubike, mkoani Morogoro, wameazimia kusambaratisha na kukomesha migogoro ya ardhi kwa kuvifikisha mahakamani vikaratasi vyote vya kugawana ardhi kwa njia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wake wa viongozi wavalia njuga ugonjwa wa saratani

UMOJA wa Wake wa Viongozi nchini, umezitaka taasisi na wadau mbalimbali kushirikiana na Hospitali ya Aga Khan ili kuwakomboa wanawake kutokana na ugonjwa wa saratani. Akizungumza jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Mtanzania

Wanasheria wavalia njuga Masha kunyimwa dhamana

Laurence MashaNa Elias Msuya

CHAMA cha Wanasheria cha Tanganyika (TLS), kimelaani kitendo cha mwanachama wake ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, kunyimwa dhamana mahakamani.

Katika taarifa yake iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari, TLS imesema mahakama imekuwa na tabia ya kunyima watu haki yao hiyo kwa kisingizio cha kuhakiki nyaraka za dhamana.

Kutokana na hali hiyo, chama hicho kimesema kitaunda tume maalumu ya kuchunguza uvunjwaji wa taratibu za mahakama...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabunge wa EFF wavalia kama wafanyikazi

Wabunge wa EFF wavalia kama wafanyikazi katika kikao cha kwanza Afrika Kusini

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya

Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

CCM kuvalia njuga utalii


Kinana amesema Chama kitahakikisha sekta ya utalii inakua kadri ilivyopangwa.
Pia amesema nchi imepiga hatua, lakini bado kuna tatizo la urasimu katika maeneo mengi.
Katibu Mkuu alisema hayo alipozungumza na wakazi wa mji wa Mto wa Mbu mkoani Arusha.
Alisema urasimu ndani ya sekta mbalimbali ikiwemo ya utalii umekuwa kikwazo kwa wawekezaji.
ìMtu anakuja leo unamwambia aje kesho na kila siku jambo hilo linajirudia ndiyo chanzo cha watu kukata tama,îalisema.
Alisema CCM ni Chama chenye dhamana na...

 

11 years ago

Mwananchi

EAC kuwavalia njuga majangili

>Katika hitimisho la ziara yake ya siku mbili kutembelea Makao Makuu ya Sekretarieti ya EAC, Rais Kenyatta ambaye ni Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya hiyo alitoa changamoto kwa kila raia wa EAC kushiriki vita dhidi ya ujangili kwa kutoa taarifa kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ummy: Nitavalia njuga bei ya gesi

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Ummy Mwalimu, ameahidi kulivalia njuga suala la bei za nishati ya gesi kwa lengo la kuhakikisha kila mwanamke wa Kitanzania ananufaika na...

 

10 years ago

Habarileo

Kawambwa alivalia njuga suala la KIU

Shukuru Kawambwa.WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa amewaahidi wanafunzi wa Chuo cha Kimataifa ya Kampala (KIU) kukutana na Waziri wa Afya kushughulikia tatizo la wanafunzi wanaosoma fani ya famasia kutotambuliwa na baraza la famasia.

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe Tume ya Warioba amvalia njuga Lowassa

Mjumbe wa Iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Humphrey Polepole amesema yupo tayari kufanya kampeni za kumpinga mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa kwa madai kuwa ana doa linalomzuia kuwania nafasi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani