Ni dhahiri Serikali haijalivalia njuga tatizo la wahitimu mbumbumbu
Imani ya Watanzania wengi ni kuwa Serikali, kupitia vyombo vunavyosimamia sekta ya elimu, imekuwa ikijipanga vilivyo kuondoa madudu mbalimbali yanayoitia doa sekta hiyo mama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
Prof. Jumanne Maghembe: Serikali imevalia njuga tatizo la ukosefu wa maji nchini
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili katika kata ya Kileo jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro wakati alipoanza ziara ya kikazi ya jimboni humo akikagua na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM.
Akizungumzia tatizo la maji nchini kwa ujumla Prof....
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dJ1WU6P-Q5g/VSwKPLiOFKI/AAAAAAAAZ3s/cjoKHdiKyyI/s72-c/IMG-20150413-WA080.jpg)
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AVALIA NJUGA TATIZO LA UBOVU BARABARA WILAYANI KWAKE
![](http://2.bp.blogspot.com/-dJ1WU6P-Q5g/VSwKPLiOFKI/AAAAAAAAZ3s/cjoKHdiKyyI/s1600/IMG-20150413-WA080.jpg)
BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA YAKE
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mmaBFNoqnLU/VAR4RML0gLI/AAAAAAAGZ8Q/AXPnA7sVq3w/s72-c/unnamed%2B(18).jpg)
NAIBU WAZIRI MAJI ALIVALIA NJUGA TATIZO LA MAJI CHAKWALE
“Kumekuwa na ugumu na uzembe wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa kuleta fedha za kutekeleza ...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Kinana kuivalia njuga Serikali ujenzi wa bandari
9 years ago
StarTV15 Dec
ILO kutoa mafunzo kazini kwa wahitimu wa elimu ya juu kukabiliana na tatizo la ajira
Wakati Tanzania ikikabiliwa na tatizo la ajira kwa vijana, vyuo vingi nchini bado vinatajwa kuwa na upungufu wa kutoa elimu kwa vitendo na kuwafanya vijana wanaomaliza elimu ya juu kushindwa kumudu ushindani katika soko la ajira.
Kutokana na upungufu huo unalisukuma Shirika la Kazi Duniani (ILO) kuanzisha mafunzo ya unagezi wakimaanisha mafunzo kazini.
Mafunzo ya unagezi ni mafunzo yanayotolewa kwa vijana katika maeneo yao ya kazi kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kipindi hiki ambacho...
9 years ago
Habarileo11 Oct
Neema ya gesi sasa ni dhahiri
RAIS Jakaya Kikwete jana alizindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia kutoka Mtwara na Songo Songo hadi Dar es Salaam kupitia Somanga.
10 years ago
Dewji Blog12 Nov
Serikali yaonya ubadhilifu wa wahitimu
Wahitimu 1,808 wa fani mbalimbali wa vyuo vya uhasibu tawi la Mwanza na Singida, wakiwa kwenye maandamano ikiwa ni sehemu ya mahafali yao ya 12 yaliyofanyika mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI imeonya kwamba wahitimu wa ngazi mbalimbali za uhasibu na ugavi, haitawavumilia endapo watajihusisha na vitendo vya rushwa na ubadhilifu wa mali ya umma, kwa madai kwamba itawachukulia hatua kali za kisheria.
Aidha, imedai kwa sasa wataalamu wa nafasi hizo...
10 years ago
Tanzania Daima24 Nov
Wahitimu Veta waililia serikali
SERIKALI imeobwa kulegeza masharti ya upatikanaji wa leseni za kufungua kampuni ili kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira kwa vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi stadi (VETA). Ombi hilo limetolewa...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Serikali kutoajiri wahitimu wa vyuo visivyosajiliwa
Waziri wa nchi ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma,Celina Kombani, akizungumza kwenye mahafali ya 20 ya chuo cha uhazili Tanzania mjini Singida. Kombani aliwaasa wahitimu hao 4,960, kwamba wasiridhike na elimu waliyopata, bali waongeze bidii zaidi katika kujiendeleza.
Na Nathaniel Limu, Singida
WAZIRI wa nchi ofisi ya rais, menejimenti ya utumishi wa umma, Celina Kombani,amesisitiza kwamba serikali haitaajiri wahitimu wo wote kutoka kwenye vyuo ambavyo havijasajiliwa...