Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana kuivalia njuga Serikali ujenzi wa bandari

Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema baada ya kumaliza mgogoro uliodumu kwa miaka miwili wa Kiwanda cha Chai cha Mponde, sasa anaelekeza nguvu kushinikiza ijengwe bandari mpya ya Ndumi jijini

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kinana akerwa kuchelewa ujenzi wa bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeijia juu serikali kwa kumkumbatia mkandarasi asiye na uwezo wa kujenga bandari ndogo ya Karema, mkoani Katavi. CCM imewaomba radhi wananchi wa Karema na Mkoa wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yasisitiza ujenzi Bandari ya Mwambani

Samuel-Sitta1NA OSCAR ASSENGA
SERIKALI imesema mpango wa ujenzi wa bandari mpya ya Mwambani mkoani Tanga upo kama ulivyopangwa.
Kujengwa kwa bandari hiyo, imeelezwa itakuwa ni kichocheo cha mabadiliko ya kiuchumi ndani ya Mkoa wa Tanga ambapo shehena za mizigo zitaongezeka mara dufu kuliko ilivyo sasa.
Hayo yalibainishwa na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, wakati akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) Mkoa wa Tanga katika ziara yake ya kikazi ya kukagua bandari hiyo na eneo...

 

11 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujengwa Bandari kubwa chini ya Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya Jamuhuri ya Watu wa China (CHEC)

119

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Muwakilishi wa Kampuni ya Ujenzi wa Bandari ya China yenye Tawi la Ofisi yake Nchini Tanzania Bwana Xu Xinpei.

121

Muwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi wa Bandari ya China Bwana Xu Xinpei akibadilishana mawazo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif. Bwana Xu Xinpei ameelezea azma ya Kampuni yake kutaka kuwekeza katika sekta na Bandari na Hoteli ya Kimataifa ya Kitalii hapa Zanzibar.

006

Balozi wa Malawi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni dhahiri Serikali haijalivalia njuga tatizo la wahitimu mbumbumbu

Imani ya Watanzania wengi ni kuwa Serikali, kupitia vyombo vunavyosimamia sekta ya elimu, imekuwa ikijipanga vilivyo kuondoa madudu mbalimbali yanayoitia doa sekta hiyo mama.

 

10 years ago

Dewji Blog

Prof. Jumanne Maghembe: Serikali imevalia njuga tatizo la ukosefu wa maji nchini

1

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili katika kata ya Kileo jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro wakati alipoanza ziara ya kikazi ya jimboni humo akikagua na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM.

Akizungumzia tatizo la maji nchini kwa ujumla Prof....

 

10 years ago

Habarileo

TPA yaonya ujenzi wa bandari ya Mwambani

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano wa TPA, Janeth RuzangiMAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeonya kwamba ni kinyume cha Sheria Namba 17 ya Bandari ya Mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi, kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila ya kibali chake.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujenzi wa bandari, viwanda kuathiri mazingira Bagamoyo

Serikali imetakiwa ianze kujipanga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kabla ya kukamilika kwa ujenzi wa bandari mpya wilayani hapa Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtanzania asimamia mradi ujenzi wa Bandari ya Qatar

>Serikali ya Qatar inajenga bandari mpya katika eneo la jangwa, mradi unaogharimu Dola za Marekani 80 bilioni na ikimteua raia wa Tanzania asimamie kazi hiyo.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA MBEGANI BAGAMOYO

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi kutoka Usultani wa Oman Hon.Dr.Ahmed Mohamed Al Furaisi na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya China Merchants Group Dkt. Hu Jianhua wakichanganya kokoto kuzindua rasmi ujenzi wa Bandari ya Mbegani iliyopo wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo.Bandari hiyo kubwa inajengwa kwa ubia kati ya serikali ya Tanzania, China na Oman.(Picha na Freddy Maro).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani