Nyamaume gani tena kutumumunya watanzania mashindano ya riadha beijing?
Jua kali Beijing Jumamosi iliyopita lilikuwa likiung’arisha uso wa Mtanzania, Ismail Juma. Alisimama karibu na mwenziye mkimbiaji mashuhuri wa Kiingereza (mwenye uzawa wa Kisomali), Mohammed Farah; au anavyojulikana Mo Farah.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziKLABU YA MICHEZO YA RIADHA YA DAR ES SALAAM ‘DAR RUNNING CLUB’ YAANDAA MASHINDANO YA RIADHA YA MARATHON 02 MAY 2015
Klabu ya michezo ya riadha ya Dar Es Salaam “Dar Running Club” (DRC) imeandaa mashindano ya mbio yajulikananyo kama “Mayday marathon” yatakayofanyika tarehe 02Mei 2015 yatakayoanza na kumalizika katika viwanja vya Bwalo la Maofisa wa Polisi Oysterbay (Police Officers Mess). Mgeni rasmi atakuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Inspekta Generali wa Police Ernest Jumbe Mangu (IGP).
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...
Akizungumza na waandishi wa habari Mlezi wa Klabu ya DRC Mkuu wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni bwana Camillus...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Doha kuandaa mashindano ya riadha 2019
Mji mkuu wa Qatar Doha, utakuwa mwenyeji wa mashindano ya dunia ya riadha mwaka 2019 baada ya kuzipiku Barcelona na mji wa Eugene nchini Marekani zilizotaka kuandaa mashindano hayo.
11 years ago
GPLMASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAFANYIKA DAR
 Juma Shabbani toka Tabora aliyeshinda nafasi ya tatu katika mbio za mita 200 na 400. Mmoja wa wanariadha akifanya mazoezi katika Uwanja wa Taifa Dar.  Walemavu wakijianda…
10 years ago
BBCSwahili19 Nov
Kenya kuandaa Mashindano ya riadha 2017?
Kenya huenda ikatangazwa rasmi kuwa mwenyeji wa mashidano ya dunia ya riadha kwa vijana mwaka 2017.
10 years ago
MichuziDK. SHEIN AFUNGUA MASHINDANO YA RIADHA ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati aliupowasili katika Uwanja wa Amaan Studium kufungua Mashindano ya Riadha ya Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo.Wachezaji wa riadha wa wilaya ya wete Pemba wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi Rais wa wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Zanzibar na Mwenyekiti Mohamed Shein kabla ya kuyafungua mashindano ya mchezo huo kwa Wilaya kumi za Unguja na Pemba leo katika uwanja wa Amaan...
10 years ago
MichuziDK. SHEIN AFUNGA MASHINDANO YA RIADHA UWANJA WA AMAAN,ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Mtoto Sofia Kombo Makame aliyekimbia umbali wa kilomita nyingi kutokana na umri wake katika mashindano ya Riadha zawadi hiyo alipewa wakati wa ufungaji wa Mashindano ya Riadha katika Wilaya kumi za Unguja na Pemba katika uwanja wa Amaani Studium leo Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikabidhi Kombe la Ushindi wa Jumla kwa Kassim Hussein Saleh na...
11 years ago
MichuziRIADHA TABORA WAJIFUA KWA AJILI YA MASHINDANO YA TAIFA
Timu ya Riadha ya Mkoa wa Tabora ikiwa kwenye mazoezi makali katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora ikijiandaa kushiriki mashindano ya riadha taifa yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar.
Na Allan Ntana,Tabora
TIMU ya Riadha ya mkoa wa Tabora ipo katika mazoezi makali kujiandaa na mashindano ya Riadha Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki hii jijini Dar e s salaam.
Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tabora Salum Tarraddady, alisema jumla ya...
Na Allan Ntana,Tabora
TIMU ya Riadha ya mkoa wa Tabora ipo katika mazoezi makali kujiandaa na mashindano ya Riadha Taifa yanayotarajiwa kuanza kutimua vumbi mwishoni mwa wiki hii jijini Dar e s salaam.
Katibu wa chama hicho Mkoa wa Tabora Salum Tarraddady, alisema jumla ya...
10 years ago
MichuziTANZANIA YAPATA MEDALI YA FEDHA KATIKA MASHINDANO YA RIADHA, SWAZILAND
Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (kushoto) akishangilia na wanariadha wenzake kutoka Zimbabwer baada ya kuvalishwa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.nafasi ya kwanza na ya tatu ilikwenda kwa wanariadha kutoka Jeshi la Polisi la Zimbabwe(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Swaziland).
10 years ago
MichuziDKT. SHEIN KUWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KITAIFA YA RIADHA ZANZIBAR
Mwashungi Tahir-Maelezo Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohammed Shein anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi katika mashindano ya Kitaifa ya Riadha ya wilaya ambayo yanatarajiwa kufanyika katika kiwanja cha Amaani Disemba 26-27 mwaka huu.
Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na Rais Shein kwa lengo la kukuza sekta ya michezo nchini yametayarishwa na Baraza la michezo la Taifa Zanzibar (BMTZ) kwa kushirikiana na chama cha Riadha (ZAAA) Hayo yameelezwa leo na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10