Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NYUMBA ALIYOIJENGA LULU YATUMIKA KWA KUTAPELI

Mjengo wa staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ uliopo Mbezi Temboni-Salanga jijini Dar es Salaam umeingia kwenye lawama kufuatia madai kwamba, unatumika kwa kutapeli watu wanaotaka kununua nyumba maeneo hayo. Mjengo wa staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ uliopo Mbezi Temboni-Salanga jijini Dar es Salaam.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

LULU ASEMA NYUMBA ALIYOMZAWADIA MAMA YAKE SI YA KUHONGWA, AMEJENGA KWA MIAKA MINNE

Mwanzoni mwa mwaka huu (2015) mrembo na muigizaji wa filamu, Elizabeth “Lulu” Michael aliwa-surprise watu wengi pale alipomzawadia mama yake nyumba aliyojenga Kimara, jijini Dar es- Salaam.
Lulu alimpa zawadi hiyo mama yake kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa January, 2015. Je Lulu aliwezaje kufanya mambo makubwa kama hayo katika umri mdogo na kwa kipato cha kuigiza peke yake? Hayo ni maswali ambayo wengi walijiuliza, kiasi cha kuwafanya wengine waamini kuwa labda amehongwa.Lulu amesema...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

10 years ago

Bongo Movies

LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake

“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)

Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!

Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.

Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...

 

9 years ago

GPL

UTATA NYUMBA ALIYOJENGA LULU

Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani HALI si shwari! Mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ uliopo Kimara Saranga, Dar ambao alisema amemzawadia mama yake mzazi, Lucresia Karugila, umezua utata baada ya madai kwamba eti umeshauzwa. Kwa mujibu wa chanzo ambacho ni jirani mmoja wa eneo hilo, mjengo huo umeuzwa kutokana na uamuzi wa Lulu mwenyewe bila kujulikana sababu licha ya manenomaneno kwamba, mama...

 

10 years ago

GPL

LULU AMZAWADIA MAMA’KE NYUMBA

Stori: Musa Mateja
Imekaa poa sana! Taarifa tamu ikufikie kwamba sexy lady wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amemfanyia mama yake, Lucresia Karugila kufuru ya kufa mtu kisha kumzawadia ile nyumba yake anayoimalizia iliyopo Kimara jijini Dar. Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Tukio hilo la kupongezwa lilichukua nafasi usiku wa Januari Mosi, mwaka huu ndani ya...

 

9 years ago

GPL

NYUMBA YA LULU YADAIWA KUGOMA SOKONI!

Mayasa mariwata ULE mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambao alimzawadia mama yake Lucresia Karugila, imedaiwa umeshindikana kuuzika baada ya kutangaza kuupiga bei ya shilingi milioni hamsini. Mjengo wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Kwa mujibu wa chanzo makini, Lulu na mama yake walifikia uamuzi wa kuupiga bei mjengo huo uliopo maeneo ya Kimara Saranga jijini Dar baada ya kuona...

 

9 years ago

GPL

MADAI YA KUUZA NYUMBA, MAMA LULU AWAKA!

Mama mzazi wa staa grade one wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila. Imelda Mtema
Acheni hizo! Mama mzazi wa staa grade one wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Lucresia Karugila, amewaka kufuatia madai ya kuuza nyumba ya aliyozawadia na mtoto wake huyo iliyopo Kimara- Saranga jijini Dar akisema kamwe hawezi kuiuza. ....Akiwa na mwanaye. Akizungumza na gazeti namba moja la mastaa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jela kwa kutumia jina la Nape kutapeli

MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu Selemani Nkwenda (36) kwenda jela mwaka mmoja baada ya kumtia hatiani kwa kutapeli watu kwa kutumia jina la Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Ofisa elimu kortini kwa kutapeli mil 5.4/-

OFISA Elimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, Julius Mduma amefikishwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Kiteto na kushtakiwa kwa kosa la kujipatia Sh 5.4 milioni kwa njia ya udanganyifu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani