Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyumba inapangishwa Tabata, Kimanga

Maelezo ya nyumba husika:

Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja master bedroom na viwili vya kawaida), dinning room, laundry na stoo.

Ina simtanks 2 (lita 2000 na lita 1000).

Iko ndani ya uzio na geti.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0763514988.

mbele ya nyumba

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIBAKA ACHOMWA MOTO MAENEO YA TABATA-KIMANGA, DAR

Mwili wa wa kijana anayedaiwa kuwa kibaka aliyenaswa kwenye nyumba ya mtu ukiwa umeteketea kwa moto. Wananchi waliokuwa eneo la tukio wakishuhudia kwa karibu tukio hilo. KIJANA mmoja (jina halikufahamika) anayedaiwa kuwa kibaka ameuawa kwa kuchomwa moto baada ya kukamatwa jana maeneo ya Tabata-Kimanga jijini Dar es Salaam akiwa nyumbani kwa mtu. Kijana huyo alichomwa moto na wananchi wenye hasira kali dhidi ya wahalifu wa aina...

 

10 years ago

Michuzi

NYUMBA INAPANGISHWA! KIJITONYAMA

Nyumba ipo KIJITONYAMA, Barabara ya kwenda kwa kopa, ina vyumba 12, inafaa kwa huduma za Ofisi, Biashara pia inaeneo kubwa la kuegesha magari na ipo jirani na Barabara ya lami kama inavyoonekana katika picha. Kwa mawasiliano zaidi tumia 0754 285529 au 0787285529 au Barua pepe florenyambo@gmail.comMuonekano wa ndani wa nyumba hiyo. Muonekano wa nje wa nyumba hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

nyumba inauzwa tabata mawenzi, Dar es salaam

 Ina nyumba mbili ndani kubwa na ndogo na zote zipo ndani ya fensi na kila moja inajitegemea luku yake na zote mbili system ya maji inafanya kazi safi kabisa na ndani kuna kisima cha maji cha umeme na kuna matanki mawili moja lina lita 5000 na lingine lita 2000 na maji yake yananyweka hayana chumvi.Nyumba kubwa ina vyumba vitatu kimoja masteroom na viwili single na kuna puplic toilet ipo ndani pia kuna store jiko sebure kubwaa na siting room kubwa, wakati nyumba ya nyuma ina chumba sebule na...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

10 years ago

GPL

GUEST HOUSE INAPANGISHWA

Ipo Pugu Kinyamwezi karibu kabisa na barabara kuu iendayo Chanika, ni guest nzuri, Imezungushiwa uzio, ipo kwenye eneo tulivu kwa biashara, ina eneo kubwa kwa ajili ya parking ya magari. Maji yapo. Kwa yeyote anayetaka kupanga awasiliane kupitia namba 0756 019 290 kwa ajili ya utaratibu na maelezo zaidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Maisha Club waruka kimanga kunyanyasa

UONGOZI wa kumbi za starehe za Maisha Club nchini, umekanusha tuhuma zilizotolewa na kile kilichoitwa ni waraka wa baadhi ya wafanyakazi wake kwamba wamekuwa wakiwanyanyasa wafanyakazi na kusema ni mbinu...

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMANDA WA MATAWI WA UMOJA WA VIJANA WA CCM KATA YA KIMANGA WALIVYOSIMIKWA

Dotto Mwaibale
VIJANA nchini wametakiwa kuwa makini kwa kutumiwa na wanasiasa ili kuvuruga amani na usalama wa nchi uliodumu kwa muda mrefu.

Mwito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa (UVCCM), Khamis Juma Sadifa wakati wa hafla ya kuwasimika makamanda tisa wa umoja huo wa matawi katika Kata ya Kimanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

"Ninyi vijana ndio walengwa wakubwa kutumiwa na wanasiasa kuvuruga amani na usalama wa nchi hivyo kuweni makini...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwakibinga aruka kimanga kutoa siri za TFF kwa Ndumbaro

Ofisa Mtendaji wa Bodi ya Ligi (TPLB), Silas Mwakibinga ameondolewa kwenye wadhifa wake huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani