Obama amwalika JK
RAIS wa Marekani, Barack Obama, amemwalika Rais Jakaya Kikwete kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika utakaofanyika jijini Washington baadaye mwaka huu. Mkuu wa Shirika la Misaada ya Maendeleo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo09 Aug
Rais Malawi amwalika Kikwete
RAIS Jakaya Kikwete juzi alikutana na kufanya mazungumzo na Rais mpya wa Malawi, Profesa Peter Mutharika, mazungumzo yaliyofanyika katika mazingira ya undugu na urafiki.
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Lowassa amwalika Namelock Ukawa
gombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa jana amefanya kampeni kwa mara ya kwanza katika jimbo la Monduli na kumnadi mgombea ubunge wa Chadema, Julius Kalanga huku akieleza kuwa atazungumza na mgombea ubunge wa CCM, Namelock Sokoine kuona kama atakubali kupanda basi la Chadema chini ya Ukawa.
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?
Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku
10 years ago
Bongo528 Jul
Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’
Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania