Obama kukutana na Netanyahu Marekani
Rais wa Marekani Barack Obama na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu watakutana leo kwa mara ya kwanza tangu uhusiano baina yao kudorora Julai.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Mar
Obama ampongeza Netanyahu kwa ushindi
Rais Obama amempongeza waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa ushindi wa chama chake katika uchaguzi mkuu wa Jumanne
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
10 years ago
GPLMAREKANI IMESEMA BENJAMIN NETANYAHU AMEKIUKA MPANGO WA AMANI
Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu akifanya mashauriano na Raisi wa Marekani Bw. Barack Obama. Msemaji wa serikali ya Marekani, Josh Earnest, amesema waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiuka dhamira yake ya awali ya kuundwa kwa mataifa mawili kama suluhu ya mgogoro wa Israel na Palestina mwanzoni mwa wiki hii, na kwamba Marekani inautathmini msimamo wake upya. Matamshi ya waziri mkuu huyo wa Israel ya kutotaka...
11 years ago
BBCSwahili27 Mar
Obama kukutana na Papa Francis
Rais wa Marekani ,Barrack Obama anatarajiwa kukutana na kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis.
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Merkel kukutana na Obama kuhusu Ukraine
Kiongozi wa Ujerumani kukutana na rais Obama kujadiliana kuhusu kuwepo kwa amani Ukraine
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
Obama awazima wengi kwa kukutana na Ruto
Licha ya hofu kuwa Obama asingelikutana na naibu rais wa Kenya William Ruto,Obama alipiga picha naye
9 years ago
VijimamboBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI AKABIDHI HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za utambumbulisho (White House). Washington DC. Mhe. Wilson Masilingi Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Ikulu ya Marekani(White House). Kutoka kushoto ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa Balozi.
11 years ago
MichuziWABUNGE VIJANA JOSHUA NASSARI NA STEPHEN MASELE KUKUTANA NA RAIS OBAMA LEO
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni baada ya mahafali ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa kwa viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika yaliyokuwa yakifanyika chuo kikuu cha Arkansas nchini Marekani.Hotuba ya Mh,Nassari ilionekana kuwagusa wageni mbalimbali katika tafrija hiyo Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akipokea cheti toka kwa Mstahiki Meya wa Fayetteville Arkansas Mhe Lioneld Jordan.
10 years ago
BBCSwahili02 Mar
Marekani na Urusi kukutana Geneva
Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry na mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wanatarajiwa kufanya mazungumzo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10