Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Netanyahu awasili Marekani

Waziri Mkuu wa Israel anatarajiwa kulihutubia Bunge la Cobgress

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Obama kukutana na Netanyahu Marekani

Rais wa Marekani Barack Obama na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu watakutana leo kwa mara ya kwanza tangu uhusiano baina yao kudorora Julai.

 

10 years ago

GPL

MAREKANI IMESEMA BENJAMIN NETANYAHU AMEKIUKA MPANGO WA AMANI

Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu akifanya mashauriano na Raisi wa Marekani Bw. Barack Obama. Msemaji wa serikali ya Marekani, Josh Earnest, amesema waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiuka dhamira yake ya awali ya kuundwa kwa mataifa mawili kama suluhu ya mgogoro wa Israel na Palestina mwanzoni mwa wiki hii, na kwamba Marekani inautathmini msimamo wake upya. Matamshi ya waziri mkuu huyo wa Israel ya kutotaka...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani

Mwanamke wa Sudan aliyetoroka kutoka nchini humo baada ya kunusurika hukumu ya kifo kwa kosa la ‘kuasi dini ya kiislamu’,Meriam Yahia Ibrahim Ishag, amewasili Marekani.

 

9 years ago

Bongo5

Mayunga awasili Universal Studios, Marekani

12071061_988050144600464_876144960_n

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga ameonesha furaha yake baada ya kufika kwa mara kwanza kwenye ofisi za Universal Studios, Hollywood nchini Marekani.

12071061_988050144600464_876144960_n

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mayunga alipost picha na kuandika:

Kwa mara ya kwanza ndani ya UNIVERSAL STUDIOS… HOLLYWOOD OOW asante sana mungu sante sana @Airtel Trace music star pia asante sans watu wangu wa zuri.Unajuwa nini usiache mtu yeyote akusimamishie ndoto zako kwa sababu nilikuwa na ndoto kwamba sikumoja...

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa awasili Marekani apokewa na Obama

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Marekani katika siku ya kwanza ya ziara ya kihistoria nchini humo ambapo amelakiwa na Rais wa nchi hiyo Barack Obama.

 

10 years ago

Michuzi

JK awasili Marekani kuhudhuria mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN General Assembly) New York. Mbali na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York, Rais Kikwete pia atahudhuria mikutano muhimu katika mji mkuu wa Marekani, Washington, D.C. Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UN

Rais Kikwete akiagana na viongozi mbalimbali waliofika kumuaga katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 15, 2014. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KWA MWALIKO WA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili, Machi 29, 2015 amewasili jijini New York, Marekani kwa mwaliko wa Umoja wa Mataifa.

Miongoni mwa mambo mengine, Rais Kikwete amefunguia rasmi jengo la ghorofa sita la Ofisi za Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika umoja wa Mataifa, na Jumatatu Machi 30, 2015 amealikwa kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa la Uchumi na Jamii (ECOSOC - UN).Rais Kikwete akilakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MHE, WILSON MASILINGI AWASILI WASHINGTON DC

    Balozi mpya atakayeiwakilisha Tanzania nchini Marekani Mhe Wilson Masilingi akiwa amefuatana  na Mkewe  Marystella Masilingi pamoja na mwanae Nelson Masilingi wawasili kituoni kwake Washington DC, awali ya hapo Mhe Wilson Masilingi alikua Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi.Mhe Wilson Masilingi mara baada ya kutua Washington DC akisalimiana na atakayekua dereva wake Virgilio Paz maarufu kama Bong.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani