Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mayunga awasili Universal Studios, Marekani

12071061_988050144600464_876144960_n

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star, Mayunga ameonesha furaha yake baada ya kufika kwa mara kwanza kwenye ofisi za Universal Studios, Hollywood nchini Marekani.

12071061_988050144600464_876144960_n

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mayunga alipost picha na kuandika:

Kwa mara ya kwanza ndani ya UNIVERSAL STUDIOS… HOLLYWOOD OOW asante sana mungu sante sana @Airtel Trace music star pia asante sans watu wangu wa zuri.Unajuwa nini usiache mtu yeyote akusimamishie ndoto zako kwa sababu nilikuwa na ndoto kwamba sikumoja...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MAYUNGA NALIMI AELEKEA MAREKANI KUREKODI VIDEO NA AKON

Mshindi wa Airtel Trace Music Stars, Mayunga Nalimi akiongea na waandishi (hawapo pichani) wakati wa tukio la kumuaga kwa ajili ya kwenda nchini Marekani. Hafla fupi ya kumuaga iliyofanyika katika Makao Makuu ya Ofisi ya Airtel Morocco jijini Dar Es Salaam. Pichani katikati ni Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jane Matinde, akifatiwa na Mwalimu wa sauti Tony Joet. Ofisa Uhusiano na Mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa...

 

9 years ago

Bongo5

Mayunga kuondoka Jumatatu kwenda Marekani kurekodi wimbo na Akon

yunga akon

Mwimbaji wa Tanzania, Mayunga Nalimi ambaye ni mshindi wa Airtel Trace Music Stars 2015 anatarajia kuondoka nchini Jumatatu (Nov. 16), kuelekea New York, Marekani kwajili ya kurekodi wimbo na mwimbaji mwenye asili ya Senegal, Akon.

yunga akon

Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Mayunga ametaja mambo matatu anayokwenda kufanya Marekani.

“…naenda kupata hiyo mentorship, kufanya wimbo, na vilevile kushoot video ya wimbo ambao nitaufanya” alisema Mayunga.

tweet

Ameongeza kuwa wimbo anaoenda kurekodi...

 

9 years ago

Michuzi

Mshindi wa Airtel Trace Nalimi Mayunga kukutana na Akon Marekani

Mshindi wa shindano la muziki la Airtel Trace Music Stars Afrika Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Duniani, Msenegal Akon.
Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika yaliyofanyika nchini Kenya mwanzoni mwa mwaka huu na kujishindia zawadi nono ikiwemo deal ya kurekodi wimbo na video pamoja na kupata...

 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUKUTANA NA AKON MAREKANI‏

Nalimi Mayunga akiimba katika michuano ya Airtel Trace Music Stars Afrika Mshindi wa shindano la musiki la Airtel Trace Music Stars Afrika , Nalimi Mayunga anatarajiwa kuondoka nchini jumatatu ya tarehe 16 novemba kwenda Marekani kwaajili ya mafunzo na kurekodi single yake na mwanamuziki Nguli Akon. Malimi Mayunga aliibuka kuwa mshindi wa Airtel Trace Afrika katika mashindano yaliyoshirikisha nchi 13 barani Afrika...

 

9 years ago

Michuzi

mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Malimi Mayunga aenda marekani, kuimba na akon

Nalimi Mayunga , mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Stars Afrika, ameondoka nchini Jana kuelekea nchini Marekani kwa lengo la kupata mafunzo na kurekodi nyimbo yake Nalimi ameondoka usiku usiku wa kuamkia leo  kwenda kufanya kazi na nguli wa mzuki wa R&B nchini Marekani Bwana Akon ambapo anatarajiwa kukaa muda wa wiki moja kisha kurejea nyumbani tarehe 24 Novemba. Akiongea wakati halfa ya kumuaga, Afisa habari mwandamizi wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Aristide Kwizera alisema”...

 

10 years ago

BBCSwahili

Netanyahu awasili Marekani

Waziri Mkuu wa Israel anatarajiwa kulihutubia Bunge la Cobgress

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa awasili Marekani apokewa na Obama

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Marekani katika siku ya kwanza ya ziara ya kihistoria nchini humo ambapo amelakiwa na Rais wa nchi hiyo Barack Obama.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanamke 'aliyeasi dini' awasili Marekani

Mwanamke wa Sudan aliyetoroka kutoka nchini humo baada ya kunusurika hukumu ya kifo kwa kosa la ‘kuasi dini ya kiislamu’,Meriam Yahia Ibrahim Ishag, amewasili Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani