Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABUNGE VIJANA JOSHUA NASSARI NA STEPHEN MASELE KUKUTANA NA RAIS OBAMA LEO

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari  akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni baada ya mahafali ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa kwa viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika yaliyokuwa yakifanyika chuo kikuu cha Arkansas nchini Marekani.Hotuba ya Mh,Nassari ilionekana kuwagusa wageni mbalimbali katika tafrija hiyo Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akipokea cheti toka kwa  Mstahiki Meya wa Fayetteville Arkansas Mhe Lioneld Jordan.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHADEMA WATOA POLE KWA WABUNGE MWANAMRISHO ABAMA NA JOSHUA NASSARI

Viongozi wa Chadema wakiwa katika Kikao cha dharura cha Kamati Kuu. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ametuma salaamu za pole na kuwatakia uponaji wa haraka majeruhi wa ajali mbili zilizotokea maeneo tofauti leo, moja ikihusisha helkopta nyingine ikitokana na ajali ya basi. Chopa iliyokuwa imewabeba viongozi wa Chadema akiwemo Mbunge Nassari baada ya ajali. Katika salaamu hizo, Mwenyekiti Mbowe ametoa pole kwa Mbunge wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Stephen Masele akabidhiwa ofisi leo

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh Ummy Mwalimu akimkabidhi Naibu Waziri mpya Ofisi hiyo Mh. Stephen Masele. Naibu Waziri mpya Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele akiwa katika Ofisi yake aliyokabidhiwa na Mh. Ummy Mwalimu jijini Dar es Salaam leo. Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.Angeline Madete akitoa maelezo mafupi wakati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele akikabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Naibu Ofisi hiyo Mh. Ummy Mwalimu (hayupo...

 

11 years ago

Michuzi

Hon Joshua Nassari and other young african leaders face-to-face with president Obama in Washington

 Arumeru East Member of Parliament Gon. Joshua Nassari says  "habari" and President Obama said "nzuri". He also mentioned his thoughts on how he thinks it's 'time for Africa to have Self reliant Economy' meaning trade and partnership rather than grants. President Obama is all smiles as he shakes hands with Young African leaders during a townhall meeting in Washington "An honour to meet you, Mr President"

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

 

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: STEPHEN MASELE

Kwa kuwa tulikuchagua kuwa mwakilishi wetu na kwa bahati nzuri ukachaguliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (kabla ya kuhamishwa), kwa nini hujaunganisha umeme katika kata zilizopembezoni kidogo na mjini hata za vijijini?

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE WA ARUMERU JOSHUA NASSARI NA AJALI YA HELKOPTA

Mbunge wa Jimbo la Arumeri Mashariki, Joshua Nassari amepata ajali ya Helkopta aliyokuwa akiitumia kufanya ziara jimboni kwake hii leo.Habari kutoka Arum,eru zinasema kuwa Helkopta hiyo ilipoteza mwelekeo na kwenda kugonga mti na kunasa juu ya mti huo.

Aidha taarifa hizo zinaeleza kuwa Mbunge huyo kwa Tiketi ya Chadema, na rubani wake walitoka wakiwa wazima na wapo katika Hospitali ya Kanila la Kilutheri ya Selian ya jijini Arusha. 
Father Kidevu Blog inatoa pole kwa Mbunge huyo na Wapigakura...

 

10 years ago

Michuzi

JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

`Aliekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki mkoani Arusha,Joshua Nassari akizungumza namna alivyotekeleza ahadi zake katika kipindi kilichopita wakati wa mkutano Mkuu wa Jimbo uliofanyika kwenye Mji mdogo wa Usa River ambao  alichaguliwa bila kupingwa ili kupeperusha bendera ya Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wanachama wa Chadema wakipiga kura za maoni kwaajili ya kumchagua mgombea ubunge jimbo la Arumeru Mashariki katika Mji Mdogo wa Usa River,Joshua Nassari alipata kura...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani