Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mh. Stephen Masele akabidhiwa ofisi leo

Aliyekuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mh Ummy Mwalimu akimkabidhi Naibu Waziri mpya Ofisi hiyo Mh. Stephen Masele. Naibu Waziri mpya Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele akiwa katika Ofisi yake aliyokabidhiwa na Mh. Ummy Mwalimu jijini Dar es Salaam leo. Naibu katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.Angeline Madete akitoa maelezo mafupi wakati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele akikabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Naibu Ofisi hiyo Mh. Ummy Mwalimu (hayupo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WABUNGE VIJANA JOSHUA NASSARI NA STEPHEN MASELE KUKUTANA NA RAIS OBAMA LEO

Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari  akizungumza wakati wa tafrija ya chakula cha jioni baada ya mahafali ya kuhitimu mafunzo ya wiki tisa kwa viongozi vijana toka nchi mbalimbali za Afrika yaliyokuwa yakifanyika chuo kikuu cha Arkansas nchini Marekani.Hotuba ya Mh,Nassari ilionekana kuwagusa wageni mbalimbali katika tafrija hiyo Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Mhe Joshua Nassari akipokea cheti toka kwa  Mstahiki Meya wa Fayetteville Arkansas Mhe Lioneld Jordan.

 

10 years ago

Mwananchi

MASWALI 10 KWA MBUNGE WANGU: STEPHEN MASELE

Kwa kuwa tulikuchagua kuwa mwakilishi wetu na kwa bahati nzuri ukachaguliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini (kabla ya kuhamishwa), kwa nini hujaunganisha umeme katika kata zilizopembezoni kidogo na mjini hata za vijijini?

 

11 years ago

Dewji Blog

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele afungua rasmi semina ya wachimbaji wadogo Kibara mkoani Mara

Picha Na. 1

Naibu Waziri wa Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya madini Mhe. Stephen Masele akifungua mafunzo ya wachimbaji  wadogo yaliyofanyika Kibara, mkoani Mara.   Pia semina hiyo ilishirikisha viongozi wa vijiji, vyama  pamoja na madiwani lengo likiwa ni kuwapa uelewa wa  sheria na  kanuni za uchimbaji wa madini. Aliyekaa katikati ni Mbunge wa Jimbo la Mwibara  Mhe. Kangi Lugora.  Kushoto ni Kamishna Msaidizi – Uendelezaji wa Uchimbaji Mdogo Mhandisi Fredy Mahobe.

Picha Na. 2

Naibu Waziri  wa...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MHE. STEPHEN MASELE AKUTANA NA RAIS MSTAAFU MHE. BENJAMIN WILLIAM MKAPA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (Kulia) akiwa kwenye mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele ofisini kwake Upanga jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin William Mkapa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Stephen Masele (Kushoto) aliyemtembelea ofisini kwake

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU AKABIDHIWA RASMI OFISI, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Picha zote na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha wageni wakati alipoingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib...

 

9 years ago

CCM Blog

MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA AKABIDHIWA OFISI RASMI NA DKT. BILAL, AKARIBISHWA RASMI NA WAFANYAKAZI WA OFISI YAKE



 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akipokea nyaraka za Ofisi kutoka kwa Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati wa makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo. Picha zote na OMR Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, akisaini Kitabu cha wageni wakati alipoingia Ofisini kwake kwa mara ya kwanza baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani