OCTOPIZZO: Afanya bonge la tour Ulaya na kupagawisha mashabiki wake Ulimwenguni kote
En route with Excitement to a 1 week #London #LDPCTour & Business Collaboration proudly sponsored by the British Council Kenya @tonyreilly5, @HCCTurner @ke_British British Council Kenya
Rapper kutokea eneo la Kibera Nchini Kenya, Octopizzo ambaye tokea mwezi ulioisha wa Septemba amekuwa kwenye ziara maalum katika Bara la Ulaya akipiga ‘Tour’ maalum ya kimuziki na harakati mbalimbali kama Balozi wa vijana akipigwa tafu na British Council ameweza kukonga nyoyo mashabiki wake waliopo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Bendi ya kijanja Skylight yazidi kupagawisha mashabiki wake Thai Village
Aneth Kushaba AK 47 akiongoza Madiva wenzake kutoa burudani kwa wapenzi wa Skylight Band Ijumaa iliyopita kwenye ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar.(Picha na Zainul Mzige).
Birthday Girl mdau wa Skylight Band Loveness akihamaki alipokuwa akiimbiwa wimbo maalum na Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita alipoadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
Aaaaah imagine sauti inayotoka hapo…Si mwingine ni Aneth Kushaba AK47 akiwapa raha fans wa Skylight Band.
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/DSC_0006.jpg)
BENDI YA KIJANJA SKYLIGHT YAZIDI KUPAGAWISHA MASHABIKI WAKE THAI VILLAGE
10 years ago
Bongo525 Aug
Mirror aahidi ‘bonge la surprise kwa mashabiki wake August 30
9 years ago
Dewji Blog30 Nov
Hospitali za Apollo kutoa huduma za kiafya saa 24 kila siku ulimwenguni kote
![](http://2.bp.blogspot.com/-3JZvsorUO9E/Vld4HZh5TrI/AAAAAAAAIPE/BHC6BibJMx0/s640/Ms%2BSangita%2BReddy.jpg)
Bi. Sangita Reddy, Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali za Apollo.
Na Mwandishi Wetu ,
Kurahisisha huduma za afya ulimwengu kote, watojia wakubwa wa huduma za afya kundi la hospitali za Apollo limebuni njia mpya madhubuti ya utoaji wa huduma za afya inayoitwa; Ask Apollo, njia bora mpya mahususi kwa wagonjwa walio mbali. Hii inathibitisha kupiga hatua zaidi kwa hospitali za Apollo na katika uwanja wa afya ulimwenguni.
Jitihada hizi kutoka hospitali za Apollo zitajenga mahusiano rahisi ya...
5 years ago
MichuziUBALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA WAZUNGUMZIA SIKU YA KIMATAIFA YA MCHEZO WA YOGA ULIMWENGUNI KOTE, WAANDAA SHINDANO MAALUMU KUELEKEA JUNI 21,2020
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Madee, Chege kupagawisha mashabiki Coco Beach leo
KAMPUNI ya Vodacom imeandaa tamasha kwa wateja na mashabiki wa muziki katika viwanja vya fukwe za Coco wakati huu ikiwaleta wasanii mahiri kimuziki, Ahmad Ally ‘Madee’ na Juma Said ‘Chege’....
9 years ago
Bongo501 Oct
Video: Octopizzo aperform show ya Kenya kwa Skype akiwa Ulaya
10 years ago
GPLSHILOLE AFANYA BONGE LA PATI
10 years ago
Bongo526 Jan
Picha: Dj D-Ommy wa Times FM afanya tour Kenya