Octopizzo amlilia msanii aliyemwinua katika ‘game’ la muziki
Na Andrew Chale wa modewji blog
Msanii wa Hip Hop wa Nchini Kenya ambaye pia ni mwanaharakati na balozi wa vijana katika masuala mbalimbali ya vijana nchini humo, ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwanamuziki Bobby Slic aliyefariki ghafla mapema leo.
Kupitia mtandao ya kijamii, wa msanii huyo ikiwemo wa twitter , Octo alimwelezea marehemu kuwa ni miongoni mwa wasanii waliofanya yeye kukuwa kimuziki pamoja na chachu ya mafanikio ya kutoka kwake.
Marehemu Bobby Slic enzi za uhai...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Msanii Benard Paulo na muziki wa R&B
10 years ago
Dewji Blog09 Nov
Msanii wa muziki wa dansi nchini Amigolas amefariki dunia
Msanii aliyewahi kuwa mwimbaji wa Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’, Khamis Kayumbu ‘a.k.a Amigolas (pichani) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu
MOblog inajaribu kufanya mawasiliano ya karibu kwa njia ya simu na mjomba wa marehemu Bw. Rajab Ahmed ili kujua marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi gani.
MOblog inaunga na familia ya marehemu katika kuombeleza kifo cha Khamis Kayumbu na mwenyezi...
10 years ago
Bongo Movies04 Mar
Nisha: Mimi ni Msanii Wa Filamu,Ila Napenda Muziki
Mwigizaji wa Bongo Movies, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema japo kuwa anafanya sanaa ya uigizaji ila anapenda sana kuwa mwanamuziki.
Nisha aliyasema hayo hivi majuzi alipokuwa kwenye studio za THT pamoja na mastaa wengine wakirekoni wimbo maalumu wa maombolezo ya msiba wa marehemu Captain John Komba.
Kila la kheri Nisha kama kweli unakipaji,...nitafurahi kama ukija kivingine, uwe tofauti na kina shilole na H mama.
Mzee wa Ubuyu
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s72-c/MEZ-B2.jpg)
JUST IN: MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-4kob-ACIQRY/VOccIZLTLUI/AAAAAAAHEw0/NKJcUiVLn8U/s1600/MEZ-B2.jpg)
Mez B amewahi kulazwa na kuruhusiwa mara kadhaa katika hospitali ya Dodoma na hivi karibuni alizidiwa na kulazwa mkoani humo mpaka umauti...
9 years ago
Bongo528 Dec
Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii
![don jazzy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/don-jazzy-300x194.jpg)
Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.
Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.
This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. #OneLagosFiesta for now sha.
— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015
Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...
10 years ago
Dewji Blog17 Jul
Breaking News…Msanii wa muziki wa dansi Banza Stone amefariki dunia!
Chanzo kupitia akaunti ya twitter ya Power breakfast ya Clouds radio.
Taarifa zaidi hapo baadae kidogo, Modewjiblog inafanya mawasiliano na ndugu wa karibu wa marehemu Banza Stone.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F19iCo2NHtc/VkigXly1mkI/AAAAAAAIF8w/s4NzGrP9xos/s72-c/d033ae22-f21e-40a9-a81d-620481f5be13.jpg)
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava Luteni Karama aja kivingine
![](http://2.bp.blogspot.com/-F19iCo2NHtc/VkigXly1mkI/AAAAAAAIF8w/s4NzGrP9xos/s320/d033ae22-f21e-40a9-a81d-620481f5be13.jpg)
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Luteni Karama (kushoto), amefanya ujio mpya wa kimuziki baada ya kuachia ngoma moja kali iitwayo ‘The Way I Feel’ akimshirikisha msanii toka Ufaransa, Jerry Julian (chini) na tayari imeanza kufanya vema kwenye mitandao na vituo vya redio na runinga.
Karama amepasha kuwa, baada ya kimya kirefu, ameamua kurejea kwenye game kwa mtindo tofauti ambapo muelekeo wake unathibitika katika kazi yake mpya ya The Way I Feel ambayo tayari...
10 years ago
Bongo531 Jan
Said Fella: Bila kuwekeza fedha kwenye muziki msanii unapoteza tu muda