Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Octopizzo kuja na video mpya, aanza kuiachia Instagram

Octopizzo aki selfie kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara 2015 lililofanyika Februari 14

Octopizzo aki-selfie kwenye tamasha la 12 la Sauti za Busara 2015 lililofanyika Februari 14 visiwani Zanzibar.

Na Andrew Chale wa modewji blog

Rapa mwenye kuteka hisia kali ya muziki wa Hip Hop, Nchini Kenya na Afrika Mashariki kwa sasa,   Octopizzo  ambaye pia ni mwanaharakati na balozi wa vijana katika masuala mbalimbali ya vijana nchini Kenya, ameanza kuachia sehemu ya video yake mpya kupitia mitandao yake ya kijamii.

Octopizz ‘Octo’ kupitia mtandao wake facebook’ mapema leo alitupia...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

JB ashindwa kuiachia filamu yake mpya ‘Chungu Cha Tatu’, awaomba mashabiki wavute subira

Sio wasanii wa muziki pekee walioathirika kutokana na kampeni za siasa zinazosababisha wengi wao kushindwa kutoa kazi zao katika kipindi hiki cha uchaguzi, bali hata wasanii wa filamu. Muongozaji na muigizaji wa filamu za Bongo , Jacob ‘JB’ Stephen amewaomba mashabiki wake wavute subira kutokana na kushindwa kuiachia filamu yake mpya iitwayo ‘Chungu Cha Tatu’ […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aachia video ya wimbo aliomshirikisha staa wa Marekani, August Alsina

Rapper anayeiwakilisha Afrika Mashariki, Octoppizo kutoka Kenya ameachia rasmi video ya wimbo wake uliovuja mwaka jana “This Could Be Us”, ambao amemshirikisha mwimbaji wa R&B kutoka Marekani, August Alsina. Habari mbaya kwa mashabiki waliokuwa na hamu ya kumuona August Alsina katika video hii ni kuwa, kwa bahati mbaya mtaisikia sauti yake tu kwasababu hajaonekana katika […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Jux aanza ku-tease video mpya ‘One More Night’ aliyoshoot na Justin Campos

Jux - onemorenight-2

Baada ya Vanessa Mdee kuachia video ya ‘Never Ever’ mwezi uliopita, Jux naye ameanza ku-tease wimbo wake mpya, ikiwa ni ishara kuwa muda si mrefu anaweza kuachia kazi nyingine baada ya ‘Looking For You’.

Jux - onemorenight-1
Moja ya picha za video hiyo

Kwa wiki mbili sasa Jux amekuwa aki-tease picha (screenshot) za video ya wimbo huo, huku akiweka hashtag ‘ONE MORE NIGHT’ kuashiria ndio jina la wimbo.

Jux - onemorenight-2

Kwenye picha hizo ameandika captions hizi:

-Natamani tusingefanya I need #onemorenight
-Nilionja sijashiba...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Octopizzo f/ M.I — Salute Me

Rapper wa Kenya, Octopizzo ameachia video ya ngoma yake aliyomshirikisha rapper wa Nigeria, M.I Abaga. Itazame hapa.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Octopizzo aperform show ya Kenya kwa Skype akiwa Ulaya

Umbali sio kikwazo tena mbele ya teknolojia, ndio maana rapper wa Kenya Octopizzo ameweza kusuuza nyoyo za mashabiki wake wa nyumbani (Kenya) kwa kutumbuiza kwa njia ya Skype huku yeye akiwa ziarani Ulaya. Kilichotokea ni kuwa kundi la Elani lilifanya show Kenya weekend iliyopita, na miongoni mwa nyimbo walizoimba ni pamoja na collabo yao mpya […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: MWANA FA - AHSANTENI KWA KUJA / THANKS FOR COMING (Official Video)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

nikki wa piliRapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]

 

10 years ago

Bongo5

Salama Jabir na Malonza (Kenya) kuja na show mpya Maisha Magic

Huenda mashabiki wa Salama Jabir hawataishia kumuona kwenye kipindi cha Mkasi peke yake. Staa huyo anaonekana kuungana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Kenya kwenye Big Brother Stargame, Malonza Chege kwenye kipindi kipya Maisha Magic ambacho hakijajulikana kitaitwaje.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani