ODAMA: MWILI WANGU HAUGUSWI KIRAHISI!
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/OdamaAkipozi.jpg?width=650)
Brighton Masalu ‘MTOTO laini’ katika kiwanda cha ‘kusindika’ filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amesema miongoni mwa mambo ambayo kamwe hayafanyii mzaha ni pamoja na kuruhusu mwili wake ‘uguswe’ kwa urahisi na wanaume wakware....Soma zaidi===>http://goo.gl/TyIuWW
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 May
Tiba ya dengue inavyokanganya wakati mwili unaudhibiti kirahisi
10 years ago
Bongo Movies15 Dec
Lulu:Napenda Zaidi Ushauri au Maoni Kuhusu Kazi Zangu Na Sio Mwili Wangu
Mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael“Lulu”ameyasema haya akiwa “GYM” anafanya mazoezi.
“Hii ni Kwa ndugu,jamaa,marafiki na mashabiki....!
Ningependa zaidi kupokea maoni Au ushauri juu Ya kazi zangu(filamu)nifanye nn,niongeze Nn au nipunguze nn....ushauri wa Mwili WANGU ninaomba mniachie mimi na Doctor pengine....mana tunapoelekea kuna watu mtatupangia mpaka style za kulala vitandani,hamshindwi kusema kwasababu Wewe Kioo cha jamii ukilala chali haipendezi “ Lulu alimaliza.
Wengi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DIpsX3jcHzPVa-l9CiFdpFaT5OElnMMqg5ZUb-ewKN0EfoZFvtmYOdl2HENB04L6jMGL82pO-QwoCzDMjnF-1X5YM8CB-umm/1.jpg)
KAMA KWELI UNAMPENDA UNAKUBALIJE KUMUACHA KIRAHISI?
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
9 years ago
Mwananchi14 Aug
Kwa nini pembe za ndovu zinapita kirahisi JNIA?
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Wapinzani wakimdharau Kinana, CCM itashinda kirahisi 2015
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
MO azindua jarida la IRIS Executive na kusema utajiri hauji “kirahisi rahisi”
Mgeni rasmi Ofisa Mtendaji Mkuu wa MeTL GROUP Mh. Mohammed Dewji (Mb) ambao ndio wadhamini wakuu wa sherehe za uzinduzi wa jarida la IRIS Executive (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa IRIS Executive Development Centre, Phylisiah Mcheni (kulia) na Makamu wa Rais wa MeTL GROUP, Bw. Vipul Kakad wakiwa meza kuu kwenye hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa jarida IRS Executive ambalo tolea la jipya ukurasa wa mbele limepambwa na picha ya Mh. Mohammed Dewji “MO”. (Picha na Zainul Mzige wa MOblog)
Na...
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mama Kikwete awataka Wanawake Wajasiriamali kutengeneza bidhaa ambazo soko lake linapatikana kirahisi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea wakati wa uzinduzi rasmi Umoja wa vikundi vya Wanawake Mbagala (UWAMBA) katika sherehe iliyofanyika kwenye ukumbi wa Dar Live.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Wanawake wajasiriamali nchini wametakiwa kutengeneza bidhaa ambazo zinahitajika kwa wingi na watumiaji na kuacha kung’ang’ania kutengeneza bidhaa ambazo soko lake ni dogo.
Mwito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete wakati wa uzinduzi wa...