Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi auzwa milioni 230/-

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi, aliyesajiliwa hivi karibuni na Klabu ya Sonderjyke FC ya Dernmark, ataingizia shilingi milioni 230 Simba, baada ya kujiunga na timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo.

Okwi, amesaini mkataba wa miaka mitano na timu hiyo na fedha hizo Simba watazipata Ijumaa ya wiki hii.

Akizungumza jana Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba Zacharia Hanspoppe alisema, kila kitu kinakwenda vizuri na fedha watakazopata kwenye...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Okwi auzwa Denmark.

Klabu ya Simba imemuuza mshambuliaji wake kutoka Uganda, Emmanuel Okwi, katika klabu ya Sonderjyske ya Ligi Kuu ya Denmark, uongozi wa klabu hiyo ya Msimbazi umesema jana.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe, alisema jana kuwa Okwi ambaye kwa sasa Mauritius kwa ajili ya fungate baada ya kufunga ndoa, ameuzwa kwa ada ya uhamisho ambayo haitajwi.

"Ndiyo tumemuuza Okwi. Haendi kufanya majaribio, tumeshamuuza rasmi. Kuanzia sasa hivi si mchezaji wa Simba," alisema...

 

10 years ago

Habarileo

7,948 wanufaika na milioni 230/-

WATU zaidi ya 7,948 wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara wamenufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III) wilayani humo kwa kupatiwa ruzuku ya Sh milioni 231.4 na kubadili hali ya maisha ndani ya familia zao.

 

5 years ago

Michuzi

RAIA WAWILI WA INDIA WAHUKUMIWA, KULIPA FAINI YA SH. MILIONI 230


 Wafanyabiashara wawili raia wa India waliohukumiwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wamehukumiwa  kutumikia kifungo cha nje kwa mwaka mmoja na kulipa faini ya sh. Milioni 230 baada ya kukiri shtaka moja lililokuwa linawakabili la kukutwa na mazao ya misitu (magogo) yenye thamani ya sh. Milioni 505.1 bila ya  kuwa na kibali cha wakala wa Misitu, (TFS).
Baadhi ya Magogo yaliyo kwenye makontena ambayo walikutwa nayo wafanyabiashara wa nchini India.

Na Karama...

 

9 years ago

GPL

MWANAMME ATUMIA SH. MILIONI 230 KUJIBADILI AONEKANE KAMA KIM KARDASHIAN

Thalia Almodovar baada kubadilisha muonekano wake. Katika pozi. ...Akitabasamu.…

 

10 years ago

GPL

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

 

10 years ago

BBCSwahili

230 wauawa na IS Syria

Miili ya Watu zaidi ya 230 wanaelezwa kuawa na Wanamgambo wa Islamic State Syria.

 

11 years ago

IPPmedia

NGO helps 230 school children


IPPmedia
NGO helps 230 school children
IPPmedia
Over 230 pupils and students from disadvantaged families have received school necessities worth 80m/- from a Bunda based NGO dubbed Zinduka. The school necessities which were given by the NGO through a sponsorship from a US based organisation ...

 

11 years ago

TheCitizen

Over 230,000 benefit from water project

>At least 67 per cent of 230,166 residents of Karatu Town are supplied with clean water from a government funded scheme.

 

10 years ago

BBC

Egypt hands down 230 life sentences

An Egyptian court has sentenced 230 people, including the prominent liberal activist Ahmed Douma, to life in prison for anti-government protests.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani