Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi auzwa Denmark.

Klabu ya Simba imemuuza mshambuliaji wake kutoka Uganda, Emmanuel Okwi, katika klabu ya Sonderjyske ya Ligi Kuu ya Denmark, uongozi wa klabu hiyo ya Msimbazi umesema jana.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspoppe, alisema jana kuwa Okwi ambaye kwa sasa Mauritius kwa ajili ya fungate baada ya kufunga ndoa, ameuzwa kwa ada ya uhamisho ambayo haitajwi.

"Ndiyo tumemuuza Okwi. Haendi kufanya majaribio, tumeshamuuza rasmi. Kuanzia sasa hivi si mchezaji wa Simba," alisema...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Okwi auzwa milioni 230/-

KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Uganda, Emmanuel Okwi, aliyesajiliwa hivi karibuni na Klabu ya Sonderjyke FC ya Dernmark, ataingizia shilingi milioni 230 Simba, baada ya kujiunga na timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo.

Okwi, amesaini mkataba wa miaka mitano na timu hiyo na fedha hizo Simba watazipata Ijumaa ya wiki hii.

Akizungumza jana Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba Zacharia Hanspoppe alisema, kila kitu kinakwenda vizuri na fedha watakazopata kwenye...

 

10 years ago

GPL

OKWI ATAMBULISHWA KLABU YA SONDERJYSKE YA DENMARK

Aliyekuwa mshambuliaji wa timu ya Simba SC, Emmanuel Okwi ametambulishwa katika klabu ya Sonderjyske inayoshiriki katika ligi kuu ya Denmark.

 

11 years ago

Michuzi

congratulatory message to H.M Queen Margrethe II of Denmark on the occasion to celebrate the Constitution Day of Denmark

H.E Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.M Queen Margrethe II of Denmark on the occasion to celebrate the Constitution Day of Denmark on 5th June 2014.


“Your Majesty Queen Margrethe II,

   The Queen of Denmark,

   Copenhagen,

   DENMARK. It is my pleasure on behalf of the people and the Government of the United Republic of Tanzania to extend to Your Majesty and through you to the people of Denmark my heartfelt...

 

10 years ago

GPL

HASHEEM THABEET AUZWA PHILADELPHIA 76ERS

STAA wa mpira wa kikapu wa Ligi ya NBA ya Marekani, Mtanzania Hasheem Thabeet ameuzwa na klabu yake ya Oklahoma City Thunder kwenda Philadelphia 76ers. Uhamisho huo umefanyika jana Jumanne japo kuna madai kuwa staa huyo huenda asikae sana katika timu hiyo na kwamba atauzwa hivi…

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yachapwa 3 -2 na Denmark

Denmark imeiadhibu Marekani katika mechi ya kimataifa ya kirafiki baada ya kuifunga magoli 3 - 2.

 

11 years ago

BBCSwahili

Simba 4 na Twiga 1 wauliwa Denmark

Hifadhi moja ya wanyamapori iliyowagadhabisha wananchi kwa kumuua Twiga nchini Denmark mwezi jana, imewaua Simba wanne

 

10 years ago

BBCSwahili

Aliyewashambulia polisi Denmark auawa

Polisi kwenye mjini Copenhagen wanaamini mwanamume waliyemuua kwa kumpiga risasi alihusika na mashambulizi ya risasi mjini humo.

 

10 years ago

TheCitizen

WB, Denmark promise $56m for urban project

The World Bank and Denmark have pledged to make available a total of $56 million (about Sh92.4 billion) in support of a project that seeks to improve infrastructure in urban areas in Tanzania.

 

9 years ago

BBCSwahili

Safari za treni kuanza tena Denmark

Usafiri wa treni nchini Denmark umejea tena baada ya hapo kusitishwa kwenda na kutoka Ujerumani baada ya kutokuelewana kati ya polisi na mamia ya wahamiaji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani