OKWI: FIFA YATOA SIKU TANO
![](http://api.ning.com:80/files/XK5BrsN2RVfQv9YcvGydHc5lScpGECJ2EI6tmKSkqvn19-1DwGJnefwR3R-oSGteN1pTMFYQfm1fYR6nJRZIfUL05-dHTxce/OKWI.jpg?width=650)
Emmanuel Okwi. Khadija Mngwai na Nicodemus Jonas SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) limeipa Klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia hadi Januari 27, kuanzia jana liwe limetoa maelezo ya uhakika kuhusiana na usajili wa Emmanuel Okwi. Usajili wa Okwi umezua utata mkubwa na kuzigonganisha timu nne kutoka katika nchi za Afrika Mashariki na Afrika Kaskazini.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0ONyBCD4_A0/XlvfirDBYTI/AAAAAAALgPQ/zazNni1QN6ozj5NmQZosa9GYQtKwBnN0ACLcBGAsYHQ/s72-c/MVUAAAAAAAAAAAAAAA%2B%25281%2529.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Fufa yamuulizia Okwi Fifa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzpknEUVxipRxskGOtvbNm7RLWakNaiknPE-6-CbtGPNtDSNk*8FngOfhKkKQFuq4hH0HORf0r2JTglkZtZHguva/FIFA.gif?width=650)
Fifa: Okwi rukusa Yanga
10 years ago
Mtanzania09 Sep
Yanga kumburuza Okwi FIFA
![Emmanuel Okwi](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Emmanuel-Okwi.jpg)
Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga, Emmanuel Okwi
NA ZAITUNI KIBWANA, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa timu ya Yanga unakusudia kuwasilisha malalamiko yao katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji kumuidhinisha Okwi kuichezea Simba.
Kamati hiyo chini ya Mwenyekiti wake, Richard Shinamkutwa, ilikutana juzi kujadili usajili huo uliozua utata na kumuidhinisha Okwi kama mchezaji huru, akiwemo beki, Abdi Banda wa Coastal Union, aliyeidhinishwa pia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wxWEJX1q6dYFtwJp1xk62Fby0yigbfC31dQrcb6YtwvNPJX5-C5PBlBOIvxa2SdByksX36h-twQU*XUFEr4hzjejpYZ68J4q/OKWI.gif?width=650)
FIFA: OKWI RUKSA YANGA
11 years ago
TheCitizen17 Feb
Of Okwi’s euphoria and Fifa’s unanswered queries
11 years ago
TheCitizen15 Feb
Okwi happy after Fifa clears him for Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n7ZUxQJY0YthosrQFVAdK3VLuCsGhhsQg0kOpDOvCPjA7u9sY72hzo6jitx4us7JgTsPju0Nz3F2c55kELcHhbcIGoyPikAo/OKWI.jpg?width=600)
FIFA YAMTUMIA RAGE BARUA YA OKWI
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Fifa yabariki Okwi kuchezea Yanga