Omog aziponda Simba,Yanga
Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog. Na Said Ally BAADA ya timu yake kuibuka mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ameziambia timu kongwe za Simba na Yanga zisitegemee tena kutwaa ubingwa huo, kwani hazina uwezo wa kupambana na kikosi chake. Omog ambaye alitua klabuni hapo katikati ya msimu kuchukua mikoba ya Stewart Hall, ameiwezesha Azam kuweka rekodi kwa mara ya kwanza kushinda taji hilo la ligi kuu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Aug
Omog ataka mbili za majaribio kabla ya Yanga
Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog
NA ZAITUNI KIBWANA
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, ametaka mechi mbili za majaribio kabla ya timu yake haijapambana na Yanga kwenye mechi ya Ngao ya Jamii.
Azam na Yanga zinatarajia kukutana Septemba 13, katika Uwanja wa Taifa kwenye mechi hiyo, inayoashiria kuanza kwa msimu mpya wa ligi.
Omog ambaye kwa sasa amerudi Dar es Salaam, baada ya kuondolewa kwenye michuano ya Kombe la Kagame alisema mechi hizo zitamsaidia kukiweka sawa kikosi chake.
“Alisema...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Wema aziponda filamu za Kibongo
STAA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu, amesema filamu nyingi za Bongo ni za makochi na juisi, hivyo kwa sasa ameamua kuja tofauti. Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Wema...
10 years ago
VijimamboAUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0
9 years ago
VijimamboYANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!
11 years ago
Mwananchi25 Jun
KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga
10 years ago
VijimamboBAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA
Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...