Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ONGEZEKO LA SANGARA ZIWA VICTORIA LAISHTUA CCM,YATOA MAAGIZO MAZITO

 Katibu wa CCM Mkoa wa Simiyu, Haula Kachwamba akibeba samaki aina ya sangara mwenye urefu wa  sentimita 90 akiwa na uzito wa kilo 15 baada ya kutembelea Mwalo wa Nyamikoma Busega Simiyu na kushangazwa na mafanikio ya Serikali ya kudhibiti uvuvi haramuKATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Haula Kachwamba akikagua zana haramu zilizokamatwa katika Mwalo wa Nyamikoma wilayani Busega mkoani Simiyu wakati wa ziara ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Mkoa Simiyu kukagua utekelezaji wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BODI YA MAJI BONDE LA KATI YATOA MAAGIZO MAZITO KWA WAMILIKI WA MABWAWA TOPE SUMU


Afisa wa Maji Bonde la Kati, William Mabula, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya kukagua athari za mafuriko kufuatia kujaa kwa maziwa ya Kindai, Munang na Singidani mkoani hapa jana.
Afisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi, Bodi ya Maji Bonde la Kati, Nelea Bundala, akionesha athari za mafuriko hayo.
Muonekano wa Ofisi ya Bodi ya Maji Bonde la Kati mkoani Singida.





Na Waandishi Wetu, Singida

KUFUATIA mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha Bodi ya Maji Bonde la...

 

5 years ago

Michuzi

DC MSHAMA ATOA MAAGIZO MAZITO KWA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA

MKUU wa wilaya ya Kibaha Assumpter Mshama ,amemuagiza mkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Kibaha na timu yake kufunga hoja 18 zilizokuwa hazijafungwa kwa mwaka 2017/2018 na kufanyia kazi maelekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG ),ndani ya wiki moja.

Aidha ametoa maagizo mengine makubwa manne kwa halmashauri hiyo ikiwemo kuepuka kuingia mikataba mibovu inayosababisha hasara baadae na kudhibiti vyanzo vya ndani vya mapato.

Akizungumza katika...

 

5 years ago

Michuzi

DC IKUNGI ATOA MAAGIZO MAZITO YA UGONJWA WA CORONA KWA MAAFISA AFYA


Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo,  akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mpugizi Kata ya Mwaru wilayani humo. 
Na Dotto Mwaibale.
MKUU wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Edward Mpogolo amewaagiza maafisa Afya wa wilaya hiyo kupita kwenye maeneo yenye muingiliano wa kila siku wa watu, minadani na maegesho ya malori yaendayo nje ya nchi na yaingiayo nchini kukagua hatua za tahadhari za maambukizi ya ugonjwa  wa Corona.
Mpogolo alitoa maagizo hayo jana wakati akufungua...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA AKAGUA MAGHALA YA SUKARI DAR ES SALAAM, ATOA MAAGIZO MAZITO

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Prof Keneth Bengesi kukagua maghala ya kuhufadhia sukari Jijini Dar es salaam, leo tarehe 16 Mei 2020 wakati akifanya ziara ya kushtukiza Jijini Dar es salaam ili kukagua na kujionea hali ya upatikanaji wa sukari nchini. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Sukari Tanzania Prof Keneth Bengesi wakishusha...

 

9 years ago

Michuzi

Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro atembelea uwanja wa ndege Kia na kutoa maagizo Mazito

 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla ametembelea uwanja wa ndege Kilimanjaro(KIA) kujionea ujenzi wa ya upanuzi wa uwanja na shughuli za uwanja wa ndege Katika kikao cha menejimenti ya kampuni ya uendeshaji uwanja KADCO mkuu wa mkoa amewapongeza uongozi kwa kuongeza ndege zinazotua na kuruka, uwezo wakujiendesha kwa kuwa na mapato mazuri na uwezo wa kudhibiti vitendo haramu vya madawa ya kulevya, usafirishaji nyara za serikali na ugaidi Pamoja na pongezi hizo mkuu wa mkoa ameagiza...

 

5 years ago

Michuzi

RC KAGERA AKABITHI BOTI KWA WATENDAJI KATA, ATOA MAAGIZO MAZITO KUHUSU MATUMIZI.


Mkuu wa mkoa Kagera Bri.Gen Marco Gaguti aliyeshika ufunguo wenye kamba nyekundu akikabidhi boti kwa watendaji wa kata.
Mkuu wa mkoa Kagera akiwahuitubia wavuvi pamoja na wananchi katika kijiji cha katembe Kata Nyakabango wilayani Muleba wakati wa hafla ya kukabithi Boti.
Wananchi pamoja na viongozi wa wilaya Muleba wakimsikiliza Mkuu wa mkoa alipokuwa akiwahutubia.


Na Allawi Kaboyo,Muleba

Kufatia kuwepo kwa vitendo vya uvuvi Haramu katika ziwa Victoria,Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia...

 

11 years ago

Habarileo

Watu watano wafa Ziwa Victoria

WATU watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uchafuzi wa mazingira waathiri Ziwa Victoria

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida upatikanaji wa samaki katika Ziwa Victoria umeshuka kutoka tani 750,000 hadi kufikia wastani wa tani 180,000. Hii inatokana na uchafuzi mkubwa wa mazingira. Uchafuzi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Meli FB Matara iliyozama Ziwa Victoria yaibuliwa

Meli ya FB Matara iliyozama Aprili 17 mwaka huu kwenye Ziwa Victoria imeibuliwa na imehifadhiwa Kisiwa cha Karumo, wilayani Sengerema mkoani hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani