Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Opposition settles for Medeye, Sakaya

Seven opposition party cadres have picked nomination forms to vie for the Speaker’s seat, bringing the number of candidates vying for the seat to eight.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Sakaya: Nitahakikisha CUF inashika dola 2015

>Naibu Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Wananchi (CUF), Magdalena Sakaya amejigamba kuwa atatumia nafasi hiyo kuhakikisha kuwa chama hicho kinashika dola katika uchaguzi mkuu wa 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtatiro aachia ngazi CUF, Sakaya amrithi mikoba

>Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) limemchagua Mbunge wake wa Viti Maalumu, Magdalena Sakaya kuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho upande wa Tanzania Bara kushika nafasi iliyoachwa wazi na Julius Mtatiro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Medeye, Huvisa waibuka kidedea

WABUNGE Goodluck ole Medeye (Arumeru Magharibi) na Terezya Huvisa (Viti Maalumu) wote CCM, wameibuka kidedea baada ya kuchaguliwa kuliwakilisha Bunge la Jamhuri katika Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Huviza, Ole-Medeye waula bungeni

MBUNGE wa Arumeru Magharibi, Goodluck ole-Medeye (CCM) na Mbunge wa Viti Maalum, Dk Terezya Huviza (CCM) jana walichaguliwa kuwakilisha Bunge katika taasisi mbili tofauti.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndugai, Ole Medeye kuchuana uspika

Kamati ya wabunge wa CCM imempitisha kwa kauli moja mbunge mteule wa Kongwa, Job Ndugai kugombea uspika wa Bunge kwenye uchaguzi unaofanyika leo.

 

10 years ago

Michuzi

Ole Medeye atoa misaada Jimboni kwake

 Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji. Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji. Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha, Mhe Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa msaada wa mabati kwa wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

MH. GODLUCK OLE MEDEYE ATOA MISAADA JIMBONI KWAKE


Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kulia) akitoa msaada wa mabati kwa wananchi waliothiriwa na mafuriko jimboni kwake.


Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.

Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili...

 

11 years ago

GPL

OLE MEDEYE AMCHANA LEMA, ADAI AMEKULIA GHETO

Mbunge wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye. MBUNGE wa Arumeru Magharibi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ole Joseph Medeye, amemchana Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema hivi punde bungeni kuwa…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Arumeru Magharibi, Mkoa wa Arusha Godluck Ole Medeye atoa misaada jimboni kwake

1

Mbunge wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Kazamoyo,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.

2

Mbunge wa Arumeru Magharibi, mkoani Arusha, Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya Kitongoji cha Nyamagana ,Kata ya Bwawani kwaajili kuibua vipaji.

3

Mbunge wa Arumeru Magharibi,mkoani Arusha,Godluck Ole Medeye(kushoto) akitoa vifaa vya michezo kwa kiongozi wa timu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani