Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Opresheni dhidi ya ugaidi yaanza Ukraine

Rais wa serikali ya mpwito ya ukraine amesema jeshi limekomboa uwanja wa ndege ulioko Kramatosk Mashariki mwa nchi hiyo .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Kesi ya ugaidi ya Westgate yaanza Kenya

Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

Vita dhidi ya ugaidi kuimarishwa

Rais Jakaya KikweteLICHA ya jeshi la polisi kuwakamata watuhumiwa 84 wa matukio ya kigaidi nchini na 17 kati yao kufunguliwa mashitaka, Rais Jakaya Kikwete amelitaka jeshi hilo kuendelea kujipanga kukabiliana na aina yoyote ya tishio la kigaidi, huku akisema Serikali itaendelea kuliwezesha katika kukabiliana nao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Ufaransa na mikakati dhidi ya Ugaidi

Ufaransa imesema imedhamiria kutokomeza makundi ya wapiganaji wa Kiislam, kufuatia shambulio la Kigaidi la mwishoni mwa juma.

 

10 years ago

BBCSwahili

Urusi yapingwa dhidi ya Ukraine

Viongozi wa kundi la G7 wamefungua mkutano wao wa mwaka nchini Ujerumani kusini,wakipinga vitendo vya Urusi kwa nchi ya Ukraine.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,Kenya inashinda vita dhidi ya ugaidi?

Kikosi cha kupambana na ugaidi kinadaiwa kunyanyasa na kuuwa vijana huku wengine wakitoweka mikononi mwa polisi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Je vita 'dhidi ya ugaidi' vitawahi kuitaisha?

Jitihada zilizwekwa bado hazijaweza kufanikiwa kukabiliana na vitisho vya ugaidi vinavyoendelea duniani kote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia yatangaza vita dhidi ya ugaidi

Rais wa Tunisia, Beji Caib Essebsi, amesema nchi yake imo vitani na ugaidi baada ya watu waliojihami kwa bunduki kuwaua watalii

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita vya Kenya dhidi ya ugaidi

Serikali ya Kenya imeahidi kuendeleza juhudi za kuwawinda magaidi wanaondelea kusababisha usalama mdogo nchini humo.

 

10 years ago

Habarileo

OIC kusaidia vita dhidi ya ugaidi Afrika

Rais Jakaya Kikwete (katikati), Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kushoto) na viongozi wengine wanaounda Baraza la Amani na Usalama la nchi za Umoja wa Afrika (AU) wakiimba wimbo wa AU na wa Taifa la Kenya kabla ya kuanza kwa mkutano wa kuzungumzia ugaidi bara la Afrika na duniani kwa ujumla, Jijini Nairobi, Kenya jana. (Picha na Ikulu).JUMUIYA ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC), imelaani matukio ya kigaidi yanayoshika kasi, ikisema kamwe haiyaungi mkono makundi ya kigaidi yanayodai kufanya uhalifu kwa kigezo cha kutekeleza misingi ya dini ya Kiislamu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani