Oxfam yatangaza Mradi kupambana na Ebola
Shirika la misaada Oxfam lasisitiza msaada wa mamilioni ya dola kusaidia nchi za Afrika Magharibi zilizoathiriwa na Ebola
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWANAWAKE HANANG' WANUFAIKA NA MRADI WA KILIMO KUTOKA SHIRIKA LA OXFAM & UCRT
Felista Giyam mhasibu wa kikundi cha hamasa ameiomba serikali kuona uwezekano wa kutafuta masoko kwa mazao ya wakulima kwani wamekuwa wakilima kwa muda mrefu lakini wanakosa masoko hivyo kuwakatisha tamaa licha ya kukiri kuwa wamekuwa na faida kwa wastani japo soko linaendelea kuwa kikwazo licha ya kwamba pia wakulima wamekuwa wakitumia gharama kubwa katika pembejeo za kilimo
Anna Iselu mbaye ni mhasibu wa kikundi cha wanawake na vijana cha Gosanga anasema mradi huo utawafanya kutokuonekana...
10 years ago
BBCSwahili12 Feb
Liberia yatangaza kudhibiti Ebola
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ametangaza kwamba ugonjwa wa Ebola umedhibitiwa
10 years ago
Michuzi15 Mar
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Ebola:Guinea yatangaza hali ya dharura
Rais wa Guinea ametangaza hatua za dharura kwenye majimbo matano ya nchi hiyo katika mpango mpya wa kuangamiza ugonjwa wa ebola.
11 years ago
BBCSwahili07 Aug
Ebola:Liberia yatangaza hali ya dharura
Liberia imetangaza hatua za dharula dhidi ya ugonjwa wa Ebola kufuatia kasi kubwa ya kuenea kwa ugonjwa huo.
10 years ago
BBCSwahili10 Nov
Mfuko wa kupambana na Ebola waanzishwa
Viongozi wa juu wa maswala ya biashara barani Afrika wamechangia operesheni ya kupambana na Ebola Afrika Magharibi
10 years ago
BBCSwahili17 Oct
Jeshi la Marekani kupambana na Ebola
Rais wa Marekani Barack Obama amethibitisha kulitumia jeshi la nchi hiyo na wale wa akiba kupambana na wa ugonjwa wa Ebola Afrika magharibi.
10 years ago
BBCSwahili08 Sep
Marekani kusaidia kupambana na Ebola
Marekani imesema itapeleka vifaa vya kijeshi, kusaidia kupambana na ugonjwa wa Ebola uliozuka katika nchi za Afrika Magharibi.
11 years ago
BBCSwahili06 Aug
WHO yasaka mikakati kupambana na Ebola
Wataalamu wa maswala ya Afya ulimwenguni kutoka WHO wanakutana kujadili hatua mpya za kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania