Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pacha wazaliwa wakishikana mikono Marekani

Mama mmoja nchini Marekani, amejifungua watoto pacha wakiwa wameshikana mikono.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

HAIJAWAHI KUTOKEA, MAPACHA 5 WAZALIWA MAREKANI

Bi. Danielle Busby akifurahi kuwaona wanawe baada ya kujifungua mapacha watano wote wakiwa hai. Wakunga wakiwatazama watoto waliozaliwa.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Mhe. Bernard Membe, Naibu Spika Job Ndungai waongelea swala la raia pacha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Beranard Membe akiongoza mazungumuzo ya Raia Pacha alipokua akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn. Idd Sandaly na Katibu wake Amos Cherehani (hawapo pichani) wakiwemo maafisa wa Ubalozi na baadhi ya WanaDMV kwenye Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani siku ya Jumanne April 8, 2014 alipokaribishwa chakula cha jioni Ubalozini hapo huku Naibu spika Mhe. Job Ndungai akiongezea mawili matatu. Chini ni Audio ya mazungumuzo...

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wazaliwa wameungana

Pg 1 watoto

 

Na Shomari Binda, Musoma
MKAZI wa Kata ya Buhare Manispaa ya Musoma, Helena Paulo (21), amejifungua watoto pacha walioungana sehemu za kifuani na tumboni katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara.
Kutokana na taarifa za kuzaliwa kwa watoto hao kusambaa mitaani, wananchi wengi walimiminika hospitalini hapo kushuhudia.
Watoto hao, walizaliwa Januari 4, mwaka huu saa moja asubuhi.
Hili ni tukio la pili, baada ya lile lililotokea Agosti 6, mwaka jana.
Katika tukio hilo, mkazi wa Katoro...

 

9 years ago

Mwananchi

79 wazaliwa Dar mkesha wa Krismasi

Jumla ya watoto 79 wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi katika hospitali za rufaa za mkoa wa Dar es Salaam. Kati ya idadi hiyo, watoto wawili wamezaliwa njiti katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili na hali zao zinaendelea vizuri.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto 109 wazaliwa Amana, Mwananyamala

WATOTO 109 wamezaliwa katika usiku wa kuamkia sherehe za Pasaka katika hospitali za Amana na Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Habarileo

Watoto 124 wazaliwa mkesha wa Krismasi

Wakina mama Husna Mohamed (kulia)  na Amina Abdallah (kushoto) wakiwa na watoto wachanga baada ya kujifungua usiku wa Noeli katika Hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).WATOTO 124 wakiwemo wa kiume 80 wamezaliwa katika mkesha wa Siku Kuu ya Krismasi katika hospitali za Dar es Salaam huku wengi wakiwa wa kiume.

 

10 years ago

Michuzi

WATOTO 63 WAZALIWA MKESHA WA MWAKA MPYA 2015

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii 
Jumla ya watoto 63 wamezaliwa katika mkesha wa mwaka mpya 2015 katika hospitali za Temeke,Kinondoni pamoja na Ilala jijini Dar es Salaam.
Hospitali ya Temeke wamezaliawa watoto 19,Muuguzi wa zamu ,Rolester Kinunda alisema watoto 10 ni wakiume na tisa (9) ni wa kike  na wazazi wa watoto hao wamejifungua salama na wameshapewa ruhusa .
Hospitali ya Amana Ilala watoto 21 wamezaliwa 11 wakiwa ni watoto wa kike  na wakiume 10 na  mapacha moja na kati ya watoto hao 21...

 

11 years ago

Michuzi

MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani