Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PADZ HOTEL, KIOTA KIPYA KABISA JIJINI MBEYA

 Padz Hotel ni kiota kipya kilichoota maeneo ya Forest kwenye Barabara Kuu ya Tanzania-Zambia, jirani na Chuo cha Mzumbe Univeristy, dakika kadhaa toka Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Songwe na katikati ya Jiji la Mbeya. Alama yake kuu ukitokea Songwe ni bendera za Tanzania na Marekani kwa nje na mjengo wa kioo tupu. Pazuri, huduma bomba msosi ndio usiseme. Na bei ni ya kiwandani...Kuwasiliana nao piga +255252500635 ama +255759851439 na +255652319139 ama email info@padtzhotel,com na pia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

M-DIASPORA CHEF ISSA AIBUKA NA KIOTA KIPYA CHA KISASA: HOTEL VICTORIA, SHANGANI WEST MTWARA

 HOTEL VICTORIA, ILIYO CHINI YA UONGOZI WA MDAU WA DIASPORA CHEF ISSA, IPO SHANGANI WEST MJINI MTWARA.  ILIFUNGULIWA RASMI TAREHE 14 FEB 2014 SIKU YA WAPENDANAO NA KUALIKA WATU ZAIDI YA 200. UNAWEZA KUPATA MAELEZO ZAIDI KWA http://www.hotelvictoria.me/ (JAPO BADO MATENGENEZONI)  VYUMBA SAFI CHAKULA SAFI NA UKARIMU WA HALI YA JUU. HOTEL NAMBA MOJA MTWARA KWA BEI YA KAWAIDA.
Chef Issa (shati la draught) akiwa na wafanyakazi wake pamoja na wageni hotelini hapo. Yeye ni mmoja wa wadau wa...

 

10 years ago

Michuzi

Kiota Kipya cha maraha ndani ya Bunju, jijini Dar es salaam

Posto Bella Resort, Kiota Kipya cha maraha pande za  ya Bunju jijini  Dar es salaam.

Chimbo jipya kwa jina La Posto Bella Resort limefunguliwa nje kidogo ya mji wa Dar. Kwa wale wanaopenda maeneo private, utulivu na salama, hakuna haja ya kuumiza kichwa. 
Kama inavyoonekana kwenye picha, pana garden nzuri iliyotengenezwa kwenye miinuko ya Bunju A, 1.2km toka Bagamoyo road, njia ya kuingia DogoDogo Centre, ikipata upepo baridiii unaotokea bahari ya Hindi. 
Ni mazingira ya kiutu-uzima na...

 

10 years ago

Vijimambo

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI DAR ES SALAAM

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)  akifungua   Champaign wakati wa uzinduzi wa kiota hicho.  Hafla hiyo ilihudhuriwa na wadau mbalimbali ambao walikunywa na kucheza mpaka majogoo.Hiyo ndiyo habari ya Mujini.

Mmiliki wa Jozi Lounge, Dismass Massawe (kushoto)huku meneja wake ni Nick...

 

10 years ago

Michuzi

introducing kiota kipya cha maraha na kilaji cha "Break Point Carnivore" Kinondoni, jijini Dar es salaam

 Mandhari ya kiota kipya cha kisasa cha kilaji kiitwacho Break Point Carnivore jijini Dar es salaam  kilichofunguliwa rasmi jana Ijumaa na kuvutia wadau wengi wa mighawa ya Break Point za mjini na Kijitonyama ambapo mambo yote yanayopatikana huko kama vile "jirambe", "mchemsho", "foil meat" na kadhalika. Msemaji wa kiota hicho Kaka Daudi anasema Break Point imeamua kuondokana na staili ya "Msonge" na kuja na kiota chenye mandhari tofauti kabisa lakini huduma zile zile na zaidi kama vile...

 

9 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA BIASHARA MTANDAONI - MAVAZI STORE

 KAMPUNI ya ConnectMoja Technologies  Wamezindua tovuti mpya iitwayo Mavazi Store (www.mavazi.co.tz)  ambayo inajumuisha Mkusanyiko wa maduka mbalimbali ya mavazi ya aina zote mtandaoni. 
Kwa Mujibu wa Meneja Chapa ambaye pia ni Ambasador wa Mavazi Store bwana  Steve Seducter   mfumo huu wa kisasa umelenga  Kuondoa kero ya kutafuta bidhaa mbalimbali zinazohusiana na Urembo pamoja na Mavazi, pia kuwaokolea muda wateja  kwa kuunganisha  maduka Mengi zaidi kupitia tovuti hii ya www.mavazi.co.tz...

 

11 years ago

Michuzi

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHAIBUKA KATIKATI YA JIJI LA DAR, UFUNGUZI RASMI JUMAMOSI

 Haya sasa wakazi wa Dar es Salaam, Shughuli imewadia kushudia club ya aina yake hapa nchini. Iko katika jingo jipya la IT PLAZA mtaa wa Ohio Street, inatazamana na PPF TOWERS. Club hii mpya inajulikana kwa jina la HIGH SPIRIT LOUNGE ambayo iko ghorofa ya 11. Parking za kumwaga mpaka underground na ulinzi wa kutosha. Fika ujionee mwenye ufunguzi rasmi Tarehe 21/6/2014 kuanzia saa tano usiku. Ma- DJ watakao kupatia burudani tosha. SOUND MPYAAAAA. Pia Kombe la Dunia utaliona katika luninga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hotel ya DoubleTree By Hilton ya Jijini Dar yafanya usafi wa mazingira yanayoizunguka hotel hiyo

DSC_0021

 Mkurugenzi mkuu wa Hotel ya Double Tree by Hilton nchini Tanzania, Bw.Ian Mclachan (wa pili kutoka kushoto) akifanya usafi katika ufukwe wa Bahari inayoizunguka Hoteli ya Double Tree huku akishirikiana bega kwa bega na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Hoteli ya Double Tree By Hilton, Bw. Yehia Elmansoury (wa kwanza kushoto).(Picha zote na Geofrey Adroph wa pamoja blog).  Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Double Tree by Hilton, Bw. Florenso Kirambata(kushoto) akifanya usafi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani