Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PAMBANO LA YANGA, MBEYA CITY LAINGIZA MIL 175

Mashabiki wa Mbeya City wakati wa mechi ya timu yao na Yanga SC jana uwanja wa Taifa, Dar. Pambano la Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya wenyeji Yanga na Mbeya City lililofanyika jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeingiza sh. 175,285,000. Watazamaji 30,411 walikata tiketi kushuhudia mechi hiyo kwa viingilio sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000 kwa VIP A. Yanga ndiyo iliyoibuka na ushindi wa bao 1-0....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Yanga Vs Mbeya City Kikosi cha kwanza Yanga hiki hapa

SIMBA-YANGA-3.jpg
Wilbert Molandi na Ibrahim Mussa
YANGA imeendelea kuonyesha kuwa haitaki utani katika msimu huu wa 2015/16, hiyo ni kutokana na mazoezi ambayo timu hiyo imekuwa ikiyafanya lakini zaidi ni kuwa kikosi cha kwanza kipo kamili.
Yanga itakutana na Mbeya City, kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara lakini tayari Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ameshapata kikosi kitakachocheza mchezo huo na mbadala wa wale ambao watapata matatizo au kuwa nje ya uwanja kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Mbeya City mtafutano

‘Ni machozi, jasho na damu, au unasema patashika nguo kuchanika,’ Yanga itakapojitupa uwanjani leo kuikabili Mbeya City kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Mbeya City vitani

>Mabingwa watetezi Yanga baada ya kutoka sare mara mbili mfululizo leo watashuka kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi kuwakabili Rhino Rangers kwa lengo moja tu la kusaka ushindi ili kuendelea kuipa  presha Azam FC kileleni wa Ligi Kuu Bara

 

9 years ago

Michuzi

YANGA YAIBONYEZA MBEYA CITY BAO 3-0

Mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke akichuana na beki wa Mbeya City, John Kabanda  katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-0. (Picha na Francis Dande). Mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke akiwatoka mabeki wa Mbeya City. Wachezaji wa Mbeya City wakimzonga mwamuzi Jeonesia Rukyaa kutoka Kagera baada ya Yanga kupata bao la kwanza.
 Donald Ngoma wa Yanga akichuana na Haruna Shamte.

BOFYA HAPA KWA PICHA...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga yavunja mwiko Mbeya City

BAO la dakika ya 15 likifungwa na mshambuliaji Mrisho Halfan Ngasa, jana lilitosha kutibua rekodi ya timu ya Mbeya City ya kutofungwa tangu kuanza kwa Ligi Kuu ya Bara, Agosti...

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga kumbakumba, yaichapa Mbeya City 3-1

Yanga imeendeleza harakati zake za kuivua Azam ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Mbeya City iliyomaliza pungufu, kwa mabao 3-1 katika mchezo uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Kocha wa Yanga aizimia Mbeya City

>Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Van Der Pluijm ameshangazwa jinsi wachezaji wa Mbeya City walivyo fiti kwa asilimia 100 na kuahidi kuwapika wachezaji wake ili wafikie kiwango hicho.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani