Papa akamilisha ziara Mashariki ya Kati
Papa Francis ametoa wito kwa wakristo, wayahudi na waisilamu katika eneo la Mashariki ya kati kupendana
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili9 years ago
MichuziMKAMU WA RAIS SAMIA AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOANI GEITA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitembelea na kukagua chanzo na mtambo wa kuchujia maji unaofadhiliwa na kampuni ya Uchimbaji ya Geita Gold Mining (GGM) kabla ya kuzindua mtambo huo katika kijiji cha Nyankanga Mkoani Geita. kushoto Mkurugenzi Mkuu wa GGM Terry Melpeter, kulia Mwenyekiti wa CCM Mkoa Geita King Msukuma.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kalangalala...
10 years ago
MichuziMH. KAMANI AKAMILISHA ZIARA NCHINI UFARANSA KWA KUTEMBELEA BANDARI YA UVUVI
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Titus Kamani (Mb) alipotembelea Bandari ya Uvuvi ya Boulogne (Port de Boulogne Sur Mer) ambayo ni ya tatu kwa ukubwa Barani Ulaya. Bandari ina eneo la Ha.150 ambalo lina huduma zote muhimu kwa sekta ya uvuvi ikiwa ni pamoja na mnada wa samaki, viwanda vya kuchakata samaki, maabara ya kuhakiki ubora wa mazao ya samaki, Taasisi ya utafiti na mafunzo kwa wavuvi na wasindikaji wa samaki.
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...
Mhe. Dkt. Kamani akiwa katika mnada wa samaki na kupatiwa maelezo...
10 years ago
MichuziMHE. JANET MBENE AKAMILISHA ZIARA YAKE UINGEREZA KWA KUKUTANISHWA NA WAFANYABIASHARA WA KITANZANIA JIJINI LONDON
Na Ally Rashid Dilunga, LondonKatika kukamilisha mojawapo ya malengo ya ziara yake ya kikazi hapa Uingereza, Naibu waziri wa viwanda na biashara Mheshimiwa Janet mbene, amemalizia ziara yake ya wiki moja nchini Uingereza kwa kukutanishwa na baadhi ya wafanyabiashara wa Kitanzania hapa Ubalozini jijini London.Ametumia fursa hiyo kuwafahamisha hatua zinazochukuliwa na Serikali kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji na pia kuwataarifu juu ya fursa za kibiashara zilizoko katika sekta...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAMILISHA ZIARA YAKE WILAYA YA ILALA,AKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mradi wa ujenzi wa tanki la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecky Sadik.Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kina ameanza ziara ya siku nne mkoani Dar Es Salaam,akiwa ameanzia wilaya ya Ilala leo.lengo ya Ziara hiyo ikiwa ni Kuimarisha uhai wa chama,kukagua miradi...
11 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JOB MASIMA AKAMILISHA ZIARA YAKE KWA KISHINDO MKOANI RUKWA
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Ndugu Job Masima kulia akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya kukagua gari aina ya Ashok Leyland iliyotolewa na Wizara yake kwa ajili kuimarisha viteule vya kijeshi vya Kasanga na Kirando Mkoani Rukwa. Katika kukabiliana na changamoto zilizokuwa zinavikabili vitua hivyo Wizara ya ulinzi kupitia kwa Katibu Mkuu huyo imetoa gari mbili, boti mbili na fedha Tsh. Milioni 150 kwa ajili ya kuboresha makazi na miundombinu...
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Papa amewasili Jamhuri ya Afrika ya Kati
Papa Francis ameanza mkondo wake wa mwisho wa ziara yake katika mataifa ya Afrika Jumapili kwa kuwasili katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bangui
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Papa Wemba asisitiza upendo Afrika Mashariki
Mwanamuziki kutoka DR Kongo mwenye makazi yake nchini Ufaransa, Papa Wemba amesema upendo ni kitendo kinachopaswa kuonyeshwa katika Ukanda wa Afrika Mashariki ili kukuza maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Papa 'wakristu wasilipize kisasi' Afrika ya Kati
Papa Francis amewaomba wakristo wasilipize kisasi dhidi ya Waislamu katika jamhuri ya Afrika ya Kati
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania