PATCHOU MWAMBA AFUNGUKIA ISHU YA KUFUMANIWA

Stori: Erick Evarist Vunja ukimya! Mwanamuziki mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayeitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ya Bongo, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ ameibuka na kufungukia skendo ya kufumaniwa iliyosambaa kwa kasi kama moto wa kifuu, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. ‘Mzee wa Ngwasuma’, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ akiwa ndani ya Ofisi za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
PATCHO MWAMBA AKANUSHA KUFUMANIWA, KUPIGWA
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
UPDATE: PATCHO MWAMBA akanusha kufumaniwa na kupigwa. Adai ni pombe.
Habari tulizopzipata kupitia mtandao wa GPL zinsema, MWIGIZAJI na mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba hivi punde ameibuka katika ofisi za mtandao huu na kukanusha vikali taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kuwa amefumaniwa akiwa na mke wa mtu na kupokea kipigo.
Akiongea na mtandao huo, Patcho amesema picha iiliyozagaa mitandaoni aliipost mwenyewe juzi baada ya kupata aleji ya macho ambapo baadaye ilisambaa mitandaoni ikidaiwa kuwa kapigwa baada ya fumanizi.
10 years ago
Bongo Movies26 Dec
TETESI:Patcho Mwamba Apokea Kichapo Kizito Baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu
Inasemekana kuwa mwigizaji na mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba, amepewa kipigo cha nguvu hadi kumvimbisha uso kama unavyomuona hapo juu, baada ya kufumaniwa na mke wa mtu.
Habari hizi zinaenea kwa kasi zaidi mtandaoni kama moto wa vifuu…hakuna taarifa rasmi juu ya kinanani ,na wapi hasa tukilo hilimetokea,japokuwa inasemekanai ni siku ya krismas (jana) .Hadi sasa sio Patcho mwenyewe au watu wake wakaribu hawajajitokeza kukanusha taarifa hizi.
10 years ago
CloudsFM31 Dec
PATCHO MWAMBA AMSAMEHE ALIMZUSHIA KUWA AMEPIGWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Msanii maarufu wa bendi na ambaye pia muigizaji wa Bongo Movie, Patcho Mwamba amemsamehe aliyemzushia kuwa amepigwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu kwenye hotel ya Sinza.
Kupitia Uheard ya Clouds fm na Soudy Brown Patcho alitangaza kuwa ataenda sambamba na wote waliomzushia kufumaniwa na kuingiliwa...
11 years ago
GPL
WEMA AFUNGUKIA ISHU YA MIMBA!
10 years ago
GPL08 Jan
10 years ago
GPL
10 QUESTIONS VAI WA UKWELI AFUNGUKIA ISHU YA USAGAJI, KUTOA MIMBA!
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Auawa baada ya kufumaniwa
10 years ago
Mtanzania03 Jan
Kijana apigwa kisu baada ya kufumaniwa,
Asifiwe George na Mwajabu Kusupa (TEC), Dar es Salaam
HEKAHEKA za sikukuu ya mwaka mpya wa 2015 jijini Dar es Salaam zimeacha alama ya matukio kadhaa mbali na taarifa za watu 87 kujeruhiwa kwa ajali wakati wa mkesha, pia yapo matukio mengine mawili likiwemo la kijana wa miaka 18 kuuawa baada ya kufumaniwa.
Kabla ya taarifa hizi mpya juzi gazeti la MTANZANIA liliripoti juu ya kutokea kwa ajali katika maeneo tofauti tofauti zilizosababisha watu 87 kujeruhiwa wakiwa katika harakati za...