Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA AFUNGUKIA ISHU YA MIMBA!

Stori: Shakoor Jongo
Wema Sepetu ambaye anadaiwa ana kitumbo, ameamua kufungukia madai hayo kwamba ni kweli anahitaji mtoto lakini kwa sasa bado mimba haijaingia. Diva katika tasnia ya filamu Bongo Wema Sepetu. Wema alifungukia hilo kwenye ukurasa wake wa nstagram ambapo alisema, anatamani siku moja aitwe mama lakini taarifa zilizoenea kuwa amenasa si za kweli. Akizungumzia hilo mpenzi wake Nasibu Abdul...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

10 QUESTIONS VAI WA UKWELI AFUNGUKIA ISHU YA USAGAJI, KUTOA MIMBA!

Wiki hii tunaye msanii wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Vai wa Ukweli lakini jina lake halisi ni Isabela Fransis. Mwandishi wetu Hamida Hassan alimbana kwa maswali 10 na yeye alitoa ushirikiano katika kuyajibu, shuka naye… Ijumaa: Hebu waambie wasomaji kuhusu maisha yako ya kimapenzi maana wengi wanahisi hujatulia na una wanaume kibao. Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ akiwa katika ofisi za GPL. Vai:...

 

10 years ago

GPL

PATCHOU MWAMBA AFUNGUKIA ISHU YA KUFUMANIWA

Stori: Erick Evarist
Vunja ukimya! Mwanamuziki mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo anayeitumikia Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ ya Bongo, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ ameibuka na kufungukia skendo ya kufumaniwa iliyosambaa kwa kasi kama moto wa kifuu, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo kamili. ‘Mzee wa Ngwasuma’, Patchou Mwamba ‘Tajiri’ akiwa ndani ya Ofisi za...

 

9 years ago

Global Publishers

Masogange afungukia mimba ya Davido

Aggy3 Agness Jerald ‘Masogange’.

Na Imelda Mtema
Video queen maarufu Bongo, Agness Jerald ‘Masogange’ amefungukia taarifa zinazoendelea kuenea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii pamoja na mitaani kwamba amedungwa mimba na mwanamuziki ‘chakaramu’ kutoka nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke ‘Davido’.

Akizungumza na mwandishi wetu, Masogange anayesifika kwa kuwa na umbo matata, alikanusha vikali taarifa hizo na kuongeza kuwa anashangazwa sana na watu wanaoendelea kumzushia wakati hana uhusiano...

 

9 years ago

Bongo Movies

Lulu Afungukia Mimba Yake Iliyonzia Insta

HAPA NA PALE: Staa mrembo wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewaponda baadhi ya watu ambao hupenda kuvumisha mambo hasa kupitia mtandao picha wa Instagram kuhusiana na habari zizilosambaa siku za nyuma kuwa staa huyo ana ujauzito huku picha hiyo hapo juu ikitumika kuonyesha mimba yenyewe.

“Mimba yangu hii ilianzia Insta ikaishia insta. Pale unapoamua kufanya project zako binafsi na viungo vyako.Mana watu wakufanya nao project wameisha...wote washafanya project na washafanywa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI NYALANDU AFUNGUKIA MIMBA YA AUNT EZEKIEL

Mwandishi Wetu Hatimaye Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu na mkewe Faraja Kotta wamejibu tetesi kuwa mheshimiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson. Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini kwa leseni ya CCM, Lazaro Samwel Nyalandu akiwa na mkewe Faraja Kotta. Awali tetesi...

 

10 years ago

GPL

ISHU SIYO KUPEWA MIMBA, ANAYEKUPA NI NANI, WAKATI GANI?-2

BILA shaka mpenzi msomaji wa safu hii u-mzima wa afya. Tunakutana tena katika eneo letu maridhawa la kupeana elimu ya uhusiano.Kwa wale tuliokuwa pamoja, wiki iliyopita tuliianza mada iliyopo hapo juu. Mada hii ilikuwa na lengo la kuwataka wanawake wawe makini katika suala zima la kutaka kuzaa. Nilisema hatari anayoipata mwanamke asiyemjua vizuri mwanaume ni pamoja na kukubali kuwa mwanamke wa kuzugia. Yeye anachoangalia ni...

 

10 years ago

GPL

ISHU SIYO KUPEWA MIMBA, ANAYEKUPA NI NANI, WAKATI GANI?

NIJumamosi nyingine tena Mungu ametukutanisha katika safu yetu hii ya Show The Love, kwenye uwanja wetu huu tunaweza kupeana mawili matatu yahusuyo maisha ya uhusiano. Niwashukuru wote walionitumia meseji kuonesha wameguswa na mada ya wiki iliyopita iliyokuwa inasema; ‘kuna ulazima wowote wanandoa kufichana vipato vyao?’
Hakika ulijifunza vya kutosha, moja kwa moja twende tukaitazame mada yetu ya leo iliyopo hapo...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hatimaye Masanja aamua kufungikia ishu ya Diamond na Wema kwa kuwapa ushauri 'mzito'

Baada ya uhusiano wa diamond na wema kuingia katika misukosuko na diamond kutoa ujumbe mzito kumhusu wema sepetu, mchekeshaj maarufu hapa bongo masanja mkandami ameamua kufua ya moyoni kuhusiana na uhusiano wa wawili hawa.

masanja alisema haya

“Street pastor anasema.. hili swala la diamond na wema nadhani mungu amemuhurumia mmoja wapo kati ya hao wawili. kama wangekuwa watu wa kuoana wangesha oana uchumba gani mrefu kama wanasomea udokta???? rafiki yangu nasib, kama kweli mlipendana kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani