Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PATRICK VIEIRA KURUDI LIGI YA UINGEREZA KAMA KOCHA

Anauzoefu mkubwa wa ligi ya Uingereza baada ya kucheza mechi zaidi ya 300 na kushinda mataji. Viera ambae wiki hii amekamilisha mafunzo yake ya leseni ya kuwa professional kocha iliyoandaliwa na UEFA anaweza kuwa kocha msimu ujao kwenye EPL.
Kwa sasa hivi Patrick Viera anafanya kazi na Manchester city kama kocha wa kikosi cha chini ya miaka 21 anapigiwa chapuo kukiongoza kikosi cha Newcastle kwenye msimu wa 2015/2016.Taarifa kutoka Sky Sport zinasema kwamba Viera anatarajiwa kuchaa na uongozi...

africanjam.com

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Patrick Vieira ateuliwa kuwa kocha mpya wa New York City

patrick-vieira_3238775b

Mchezaji na kiungo wa zamani ufaransa na timu za Arsenal na Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya New York City.

patrick-vieira_3238775b

Vieira mwenye miaka 39 amesaini mkataba wa miaka mitatu kuifundisha timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya soka nchini Marekani.

Vieira alikuwa kocha wa kikosi cha vijana wa chini ya umri wa 21 cha Manchester City. Vieira ni miongoni mwa nyota wa timu ya taifa ya Ufaransa waliotwaa kombe la dunia mwaka 1998.

Vieira ataanza kazi hiyo rasmi Januari 1,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Vieira ateuliwa kuwa kocha wa New York City FC

4644

Kocha mpya wa New York City, Patrick Vieira.

new-york-city-fc-2015-roster

Kikosi cha New York City.

Na Rabbi Hume

Mchezaji wa zamani wa Arsenal na kocha wa timu kukuzia vipaji ya vijana ya Manchester City, Patrick Vieira ameteuliwa kuwa kocha wa timu ya New York City inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MSL.

Uteuzi wa Vieira umekuja ikiwa ni siku sita (6) tangu kutimuliwa kazi aliyekuwa kocha wa timu hiyo Jason Kreis.

Vieira ambae anaiongoza timu ya vijana kuangalia maendeleo ya vijana alijiunga na timu hiyo 2013...

 

9 years ago

MillardAyo

Kama hujawahi kuiona, hii ndio video ya magoli ya mashuti ya mbali yaliowahi kufungwa katika Ligi Kuu Uingereza

Mtu wangu wa nguvu najua ni nadra sana kuona mchezaji soka akifunga goli kwa shuti la mbali, hili ni tukio ambalo hutokea katika mechi mara chache, magoli ya mashuti ya mbali huwa ni moja kati ya kivutio kizuri katika soka, hii inatokana na magoli hayo ufungwa mara chache uwanjani. Huenda ukwa ujawahi kuona hii list […]

The post Kama hujawahi kuiona, hii ndio video ya magoli ya mashuti ya mbali yaliowahi kufungwa katika Ligi Kuu Uingereza appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Iran yasifu uhusiano na Uingereza kurudi

Baada ya Iran na Uingereza kufungua balozi zao tena, Iran yasema maingiliano sasa ni ya kuheshimiana

 

9 years ago

Michuzi

JUST IN: KITUO CHA MICHEZO CHAENDELEA KUJIZATITI Aliyekuwa Kocha kwenye Ligi Kuu ya Uingereza aja Tanzania kuongoza kituo cha vijana cha michezo

Ndugu Ray Power, ambaye amewahi kuwa Kocha wa Chama Cha Soka na mkuu wa kitengo cha mpira wa miguu katika chuo kiitwacho Central College Nottingham; ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi katika Kituo cha Vijana cha Michezo kilichopo Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam (pichani). Katika nafasi yake mpya, Ndugu Power atasimamia mafunzo na Uongozi wa kituo kipya ambacho kinategemewa kufunguliwa tarehe 19 ya Mwezi huu. Ndugu Power anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

kocha patrick phiri wa zambia kutua dar es salaam ijumaa tayari kuinoa simba SC

Na Bin ZubeiryMazungumzo yamekwishanyika na makubaliano yamefikiwa baina ya Patrick Phiri kutoka Zambia (pichani)  na Simba SC na sasa atakuja kufanya kazi tena Msimbazi, akisaidiwa na Nahodha wake enzi zake akifundisha timu hiyo, Suleiman Abdallah Matola ‘Osama’.

Phiri ni kocha anayekubalika zaidi mbele ya mashabiki wa Simba SC miongoni mwa makocha waliowahi kufundisha klabu hiyo- rekodi yake ya kukumbukwa zaidi ikiwa ni kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu wa 2009/2010 bila kufungwa hata...

 

11 years ago

GPL

KAMA IKITHIBITIKA… JACK PATRICK JELA MIAKA 10

Stori: Imelda Mtema
Duh! Habari mpya kutoka huko Hong Kong, China zinaeleza kuwa kama atapatikana na hatia ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ atatumikia kifungo cha miaka kumi jela. Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho kilikwenda kumtembelea Jack akiwa nyuma ya nondo baada ya kuruhusiwa kumuona tangu Machi mosi, mwaka huu,...

 

5 years ago

BBCSwahili

Taji la ligi ya England: Jinsi kocha Jurgen Klopp alivyoisaidia Liverpool kushinda taji la Ligi ya Primia.

Jurgen Klopp amechangia pakubwa katika ushindi wa Liverpool kwenye Ligi ya Primia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani