Pazia la tuzo za Kili Music lafunguliwa
Msimu mpya wa tuzo za Kilimanjaro Music Award‘KTMA’ umezinduliwa rasmi jana utatumia sh1 bilioni hadi kukamlika kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTUZO ZA KILI MUSIC AWARD 2015 KATIKA PICHA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ud8MRCNMXag/U2U8YaJrPGI/AAAAAAAFfOg/pwwnHR2nIbU/s72-c/IMG-20140503-WA0002.jpg)
FATILIA HAPA UTOAJI TUZO ZA KILI MUSIC LIVE KUTOKA MLIMANI CITY JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-ud8MRCNMXag/U2U8YaJrPGI/AAAAAAAFfOg/pwwnHR2nIbU/s1600/IMG-20140503-WA0002.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-y-rwPub7mcc/U2VDiMbcSlI/AAAAAAAFfOw/7y9fKxBhl4Q/s1600/IMG-20140503-WA0004.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Tuzo za Kili zazinduliwa rasmi
Tuzo za Muziki, maarufu ‘Kilimanjaro Music Award’ zimezinduliwa rasmi jana na zitafikia kilele chake Mei 3 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/03/Screen-Shot-2014-03-25-at-11.38.42-AM.png?resize=512%2C297&width=600)
WANAOWANIA TUZO ZA KILI 2014
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui Uzuri wako ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema mate tuwachape Madee.… ...
11 years ago
GPL![](http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/02/Screen-Shot-2014-02-17-at-10.54.08-AM.png?resize=481%2C302&width=600)
TUZO ZA KILI 2014 ZIMEZINDULIWA LEO
George Kavishe. Ni time ya kufahamu kuhusu tuzo ambazo hutolewa kwa Wanamuziki/Wasanii mbalimbali wa Tanzania zikiwa zimeanzishwa mwaka 1999 ambapo za mwaka huu 2014 zimezinduliwa leo February 17. George Kavishe kutoka TBL ambao ndio Wadhamini wa tuzo hizi amesema ‘Maboresho makubwa ambayo tumefanya mwaka huu ni tofauti na mara zote ambazo tumekua tukihusisha Watanzania dakika za kupiga kura tu hivyo wanakosa nafasi ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/F6kBJElJzOa4fqYfiLfjTxNUUmF71mr3x-J9j7xUXBq1qc4kWBzdt0MgTpJttNnXdkSSjvCoRxFEcUM8KlVUS7gsTQMGsddK/diamondd.jpg?width=650)
TUZO ZA KILI 2013/14: RIPOTI KAMILI
Stori: waandishi wetu Mwisho wa ubishi! Hatimaye kile kinyang’anyiro cha Tuzo za Muziki za Kilimanjaro 2013/14 kimefikia tamati wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili ya matokeo na kilichojiri nyuma ya pazia. Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. NANI KASHINDA TUZO GANI?
Tuzo ya kwanza ilikuwa ni...
10 years ago
GPLWASHINDI TUZO ZA KILI KUANIKWA KESHO
Meneja wa Kilimanjaro ,Pamela Kikuli akizungumza na wanahabari (hawapo)pichani. Wanahabari wakichukua tukio. WASHINDI wa Kilimanjaro Music Awards 2015 (KTMA) wanatarajiwa kuanikwa kesho ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Meneja wa Kilimanjaro, Pamela Kikuli amesema kuwa washindi waliopatikana katika Promosheni za Bia ya Kilimanjaro zilizofanyika nchini kote wameanza kuwasili...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10