Peneza kurejesha fomu uenyekiti Bavicha leo
WAKATI homa ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikizidi kupanda, Mwanaharakati Upendo Peneza anatarajiwa kurudisha fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha), huku...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Meddy kurejesha fomu Simba leo
MGOMBEA wa nafasi ya ujumbe wa Klabu ya Simba, Ahmed Mlanzi ‘Meddy’, anatarajia kurejesha fomu yake leo katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi hiyo. Mchakato wa uchaguzi wa Simba, umeendelea kushika...
10 years ago
Michuzi01 Aug
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA KUREJESHA FOMU LEO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUHUSU MGOMBEA URAIS KUREJESHA FOMU
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho (LEO) Agosti 1, 2015 atarejesha fomu yake kwa ajili ya taratibu zingine za ndani ya chama.
Shughuli hiyo itafanyika kuanzia saa 9.00 jioni, ambapo mgombea atakabidhi fomu yake Ofisi ya Katibu Mkuu, Makao...
9 years ago
Mwananchi23 Aug
Aliyeshindwa kurejesha fomu abomolewa nyumba
11 years ago
MichuziShaffih Dauda achukua fomu kuwania nafasi ya Uenyekiti TASWA
![](http://1.bp.blogspot.com/--KzOJaqGC3g/Uw2vOCP6_CI/AAAAAAACbIo/YmwPTO2eo0Q/s1600/Shafii+1.jpg)
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Washiriki Shindano la mashujaa wa kesho waanza kurejesha fomu
![Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/10/Chumba-cha-kompyuta-cha-washiriki-wa-Shindano-la-Mashujaa-wa-Kesho..jpg)
Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.
Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho wakipitia fomu zao.
Na Mwandishi Wetu
ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-2IxQ5cS0N8g/VHRWRyUiG7I/AAAAAAAGzTs/y7VgdsD_VxE/s72-c/IMG-20141124-WA037.jpg)
Mgombea wa Nafasi ya Uenyekiti Serikali ya Mtaa wa Oysterbay kwa tiketi ya CCM arudisha fomu
![](http://2.bp.blogspot.com/-2IxQ5cS0N8g/VHRWRyUiG7I/AAAAAAAGzTs/y7VgdsD_VxE/s1600/IMG-20141124-WA037.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-SCbyS9YF2pA/VHRWUOK9CBI/AAAAAAAGzT0/IR_CQfkhb-I/s1600/IMG-20141124-WA036.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8ynRIuA4csk/XuOCr6naCFI/AAAAAAALtmQ/sfAGK_DZFUciYtfyzh-UFU0ZAYQeBYM4ACLcBGAsYHQ/s72-c/8ba33e0df5ac386a189da9bf95a9c373.jpg)
MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU
![](https://1.bp.blogspot.com/-8ynRIuA4csk/XuOCr6naCFI/AAAAAAALtmQ/sfAGK_DZFUciYtfyzh-UFU0ZAYQeBYM4ACLcBGAsYHQ/s400/8ba33e0df5ac386a189da9bf95a9c373.jpg)
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...