Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyeshindwa kurejesha fomu abomolewa nyumba

Kundi la watu wasiofahamika wamevamia na kubomoa nyumba ya mgombea ubunge wa jimbo jipya la Nanyamba kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) lililogawanywa kutoka Jimbo la Mtwara Vijijini, Twahil Saidi kwa kile kilichodaiwa kuwa amekihujumu chama hicho baada ya kushindwa kurejesha fomu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Meddy kurejesha fomu Simba leo

MGOMBEA wa nafasi ya ujumbe wa Klabu ya Simba, Ahmed Mlanzi ‘Meddy’, anatarajia kurejesha fomu yake leo katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi hiyo. Mchakato wa uchaguzi wa Simba, umeendelea kushika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Peneza kurejesha fomu uenyekiti Bavicha leo

WAKATI homa ya uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ikizidi kupanda, Mwanaharakati Upendo Peneza anatarajiwa kurudisha fomu ya kugombea nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Vijana (Bavicha), huku...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS WA CHADEMA KUREJESHA FOMU LEO

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUHUSU MGOMBEA URAIS KUREJESHA FOMU


Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari kuwa baada ya hatua ya kuchukua fomu ya kuwania uteuzi wa ndani ya chama kugombea nafasi ya urais, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa kesho (LEO) Agosti 1, 2015 atarejesha fomu yake kwa ajili ya taratibu zingine za ndani ya chama.

Shughuli hiyo itafanyika kuanzia saa 9.00 jioni, ambapo mgombea atakabidhi fomu  yake Ofisi ya Katibu Mkuu, Makao...

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki Shindano la mashujaa wa kesho waanza kurejesha fomu

Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.

Chumba cha kompyuta cha washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho.

Baadhi-ya-washiriki-wa-Shindano-la-Mashujaa-wa-Kesho-wakipitia-fomu-zao.

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mashujaa wa Kesho wakipitia fomu zao.

Na Mwandishi Wetu

ZOEZI la uchukuaji fomu kwa ajili ya vijana mbalimbali kushiriki katika Shindano la Mashujaa wa Kesho la Statoil limeendelea kushika kasi huku idadi kubwa ya vijana wakiendelea kurejesha fomu kwa lengo la kushiriki katika kinyang’anyiro hicho.

Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Ofisa Mawasiliano wa Statoil Tanzania, Erick...

 

5 years ago

Michuzi

MAMBO YAMEIVA CCM...WANAOTAKA KUGOMBEA URAIS WAPEWA RATIBA YA KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetengaza rasmi ratiba ya uchukuaji na urejeshaji wa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tekiti cha Chama hicho katika Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25,2020.
Akitangaza ratiba hiyo leo Juni 12,2020 jijini Dar es Salaa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole amesema ratiba ya kumpata mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaanza Juni 15 mpaka...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yafikiria kurejesha mfumo wa wajumbe wa nyumba kumi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Jumanne SaginiSERIKALI imesema inaangalia namna ya kurudisha utaratibu wa kuwatambua wageni wanaoingia katika maeneo mbalimbali nchini kama njia ya kujikinga na vitendo vya kihalifu hata kigaidi hasa katika maeneo ya mipakani.

 

10 years ago

Michuzi

Polisi: Wagombea Urais marufuku kuambatana na wapambe waati wa kuchukua, kutafuta wadhamini na kurejesha fomu

Na Lorietha Laurence –Maelezo
Jeshi la Polisi nchini limesitisha maandamano ya wafuasi wa vyama vya siasa wakati wa kuchukua ,kutafuta  wadhamini, na kurejesha fomu za kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam Naibu Inspekta Jenerali wa jeshi la Polisi Abdulrahman  Kaniki (pichani) amesema kuwa jeshi limechukua hatua hiyo kutokana na ukiaukwaji wa sheria za usalama barabarani...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATUA DODOMA KUREJESHA FOMU YA URAIS,KAULI MBIU YAKE YAENDELEA KUWIKA

Mgombea Urais ndani ya CCM Mh:Mwigulu Nchemba akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndugu Luhavi  fomu zilizokamilika idadi ya wadhamini kama Utaratibu wa Chama ulivyoagiza mapema hii leo Mjini Dodoma.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi waliofika kumsindikiza wakati wa kurejesha fomu ya Urais CCM-DodomaBaada ya safari ya ndefu ya Kutafuta wadhamini Mikoani,Mwigulu Nchemba akiwa ameongozana na Mke wake Bi.Neema Mwigulu akiwasili Makao makuu ya CCM Mjini Dodoma kwaajili ya Kurejesha fomu...

 

10 years ago

Michuzi

makala ya sheria: USINUNUE KIWANJA/NYUMBA YA MIRATHI BILA KUPATA FOMU HII.



Na Bashir YakubNimeandika makala nyingi kuhusu namna  ya kisheria ya kuepuka  kununua nyumba/viwanja  vyenye  migogoro kwakuwa  migogoro ya vitu hivi inaumiza sana. Waliokutana na migogoro hii wanajua  vyema ninaongea nini. Katika mwendelezo wa kumuepusha mnunuzi  na janga hili, leo tena tuangalie taratibu za ununuzi wa nyumba/kiwanja cha  mirathi. Nataka ieleweke vyema kuwa taratibu za manunuzi ya nyumba/kiwanja  zinatofautiana. Tofauti kubwa  ni za kisheria hasa  namna ya uandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani