PENNY: MITANDAO ILITAKA KUNITOA UHAI WANGU
![](http://api.ning.com:80/files/gikBPgJguSUTrw4EEm4YYUlrAsbGAI8yZGTiQjyu*P78CvhZnfnJShkdBcAhhFBpXN3R58ZI5C65wY4rmtdL-9ht*Aov-N4X/Penny.jpg)
Ndani ya safu hii leo tunakutana na Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’ ambaye yuko kimya katika masuala ya utangazaji tangu alipoamua kuondoka Radio E FM. Mtangazaji Penniel Mungilwa ‘Penny’. Msikilize Penny alipobanwa kwa maswali kumi na Mwandishi Wetu Imelda Mtema. Ijumaa: Upo kimya sana shosti, ni nini unachofanya kwa sasa? Penny: Sasa hivi mimi ni mbunifu wa mpangilio wa nyumba na ofisi ambapo...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/yaKoFgGRqio/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uSctmlHjp4vARAaZy7TCeHNrPJHDlMdKOevy85rGulzKyRRb6hvyNHAHU0z7Bx6jjbIOk8hV*BUJVrePExLm6sq32/diamond....jpg)
DIAMOND: PENNY NDIYE MWALIMU WANGU WA KIINGEREZA
9 years ago
Bongo527 Aug
Dogo Janja: Naogopa kumwanika mpenzi wangu kwenye mitandao
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qDVW2jk6RFo/Xqa6eExLT6I/AAAAAAALoUw/11O8w87eh7oFWEiYmEIwrqNi4HJRsl8rgCLcBGAsYHQ/s72-c/kanyasu2.jpg)
SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI
![](https://1.bp.blogspot.com/-qDVW2jk6RFo/Xqa6eExLT6I/AAAAAAALoUw/11O8w87eh7oFWEiYmEIwrqNi4HJRsl8rgCLcBGAsYHQ/s640/kanyasu2.jpg)
Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai wa wanyamapori
Amesema licha ya kuwa binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...
10 years ago
Bongo519 Sep
Peter Msechu: Kauli kuhusiana na kuacha muziki ilitaka kunigharimu
9 years ago
Bongo529 Dec
Mama wa Mtoto wangu wa nne ndiye atakuja kuwa mke wangu – Nay Wa Mitego
![Chagga-na-Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego ni staa ambaye miezi michache iliyopita alikuwa hakosekani kwenye ‘headlines’ kutokana na uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa Bongo movie, Shamsa Ford uliokuwa ukifatiliwa sana na mashabiki wao.
Uhusiano wa Nay na Shamsa ambao kwa mujibu wa Nay ulidumu kwa takribani miezi mitano, ulizaliwa muda mfupi baada ya Nay kuachana na mama wa mtoto wake wa tatu Curtis, Siwema ambaye baada ya kujifungua mtoto huyo waliachana na Nay kumchukua mwanaye.
Chagga Barbie na Nay Wa Mitego
Siku...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIlkFoOtGIWi2WTrC-EbDaDZYf*VnfC038oJEfTUjJ4xVMbqPr7bAhphV222lSS034ADfWSENkyYLtK79hQri4oY/wananitesa.jpg)
MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU
10 years ago
Bongo516 Jan
Mabeste: Huu ndo ukweli wa kuugua kwa mke wangu! Na aliyejaribu kumuua mke wangu na mtoto!
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
‘Thamani ya uhai haikadiriki’
Wanasayansi wanakadiria kuwa inagharimu zaidi ya dola za marekani trilioni elfu sita kuiga tishu na viungo vya mwili wa binadamu. Gharama hiyo ni mara 77 ya pato la dunia. Pamoja na gharama hii yote, hakuna hakikisho kwamba jambo hili litafanikiwa. Gharama hii haijumuishi akili aliyojaaliwa binadamu. Hii ni kulingana na utafiti uliofanywa na mwanasayansi Harold J. Morowitz wa chuo kikuu cha Yale nchini Marekani.
Nchini Tanzania kuna ongezeko kubwa la kuenea kwa magonjwa yatokanayo na mtindo...