Pensheni kwa wazee kitendawili
SERIKALI imeeleza kuwa ili iweze kuwalipa pensheni wazee wote nchini, ni lazima iwe na bajeti isiyopungua sh bilioni 600 kwa mwaka. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Feb
Ulipaji pensheni kwa wazee kupitiwa upya
SERIKALI imesema itaupitia mchakato ambao utatoa nafasi kwa wazee kuanza kulipwa pensheni ya kila mwezi baada ya kutoa mchango wao mkubwa wa utumishi kazini.
11 years ago
Habarileo07 Jun
Serikali yafanyia kazi pensheni kwa wazee
SERIKALI imesema kuwa Mpango wa Pensheni kwa Wazee nchini, haujaanza kutekelezwa kutokana na kutokamilika kwa maandalizi.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Wazee Moro waipongeza serikali kwa pensheni
ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya wazee wa mkoa wa Morogoro (MOROPEO) inayojishughulisha na uboreshaji wa masuala ya wazee kimkoa, imeipongeza serikali kwa kusikiliza kilio chao cha muda mrefu baada ya kuanza kuwalipa pensheni.
11 years ago
Mwananchi25 May
Serikali yabanwa pensheni ya wazee
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Mbasa atetea pensheni ya wazee
MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), amesema kamwe serikali haiwezi kufanya jambo lolote la maana pasipo kuongeza pensheni za wazee na kuwalipa kwa wakati. Dk. Mbasa alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Habarileo06 Jun
Wazee miaka 70 kuanza kulipwa pensheni
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuanzia mwaka wa fedha wa 2015/16, itaanza kulipa pensheni kwa wazee wenye umri wa miaka 70 kwa lengo la kuwawezesha kujikimu kimaisha.
10 years ago
Vijimambo11 years ago
Mwananchi17 Jul
Masoko kwa wakulima bado kitendawili
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA PPF WAIBUKA MSHINDI WA JUMLA KWA MAHESABU BORA NCHINI KWA ZAIDI YA MAKAMPUNI
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima (watatu kushoto mstari wa mbele) akimkabidhi tuzo ya Mahesabu Safi kwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bw. Hosea Kashimba baada ya PPF kuwa mshindi wa jumla katika sherehe zilizoandaliwa na Bodi ya Taifa ya ukaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) zilizofanyika jijini Arusha. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa bodi ya NBAA, Profesa Isaya Jairo (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibuiti Mifuko ya Jamii, Irene Isaka (wapili kushoto),...