Wazee miaka 70 kuanza kulipwa pensheni
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema kuanzia mwaka wa fedha wa 2015/16, itaanza kulipa pensheni kwa wazee wenye umri wa miaka 70 kwa lengo la kuwawezesha kujikimu kimaisha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-K-tpVvH8QyE/VEfJY0b95oI/AAAAAAAGssY/wGNNaunROn8/s72-c/unnamed%2B(89).jpg)
Maadhimisho Ya Miaka 70 ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Kuanza Kesho Mjini Arusha
Akizungumza na waandishi wa habari leo mjini Arusha, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Eliud Sanga, amesema maadalizi yote ya mkutano huo, wenye kauli mbiu ya "Maadhimisho ya Miaka 70 ya Ukuaji na Huduma Bora, LAPF", yamekamilika ambapo utakwenda sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Mfuko...
11 years ago
Mwananchi25 May
Serikali yabanwa pensheni ya wazee
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
Pensheni kwa wazee kitendawili
SERIKALI imeeleza kuwa ili iweze kuwalipa pensheni wazee wote nchini, ni lazima iwe na bajeti isiyopungua sh bilioni 600 kwa mwaka. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Mbasa atetea pensheni ya wazee
MBUNGE wa Biharamulo, Dk. Anthony Mbasa (CHADEMA), amesema kamwe serikali haiwezi kufanya jambo lolote la maana pasipo kuongeza pensheni za wazee na kuwalipa kwa wakati. Dk. Mbasa alitoa kauli hiyo...
9 years ago
Habarileo11 Oct
Walimu kuanza kulipwa bilioni 1.7/-
SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.
11 years ago
Habarileo07 Jun
Serikali yafanyia kazi pensheni kwa wazee
SERIKALI imesema kuwa Mpango wa Pensheni kwa Wazee nchini, haujaanza kutekelezwa kutokana na kutokamilika kwa maandalizi.
10 years ago
Habarileo26 Jun
Wazee Moro waipongeza serikali kwa pensheni
ASASI isiyokuwa ya Kiserikali ya wazee wa mkoa wa Morogoro (MOROPEO) inayojishughulisha na uboreshaji wa masuala ya wazee kimkoa, imeipongeza serikali kwa kusikiliza kilio chao cha muda mrefu baada ya kuanza kuwalipa pensheni.
10 years ago
Habarileo26 Feb
Ulipaji pensheni kwa wazee kupitiwa upya
SERIKALI imesema itaupitia mchakato ambao utatoa nafasi kwa wazee kuanza kulipwa pensheni ya kila mwezi baada ya kutoa mchango wao mkubwa wa utumishi kazini.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Kidunda kuanza kulipwa fidia Julai 21
MAMLAKA ya Maji Safi na Majitaka Mkoa wa Dar es Salaam, (DAWASA), imetenga kiasi cha sh bilioni 7.9 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi 2,600 watakaohamishwa katika kijiji cha Kidunda wilayani Morogoro kupisha ujenzi wa bwawa la maji na barabara.